Pembemraba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|Pembemraba '''Pembemraba''' ni pembe yenye kiwango cha nyuzi 90. Kama mistari miwili yapandana kuna pembe nne zinazojitokeza. Kama pembe hizi zote ni ...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:00, 30 Septemba 2007

Pembemraba ni pembe yenye kiwango cha nyuzi 90.

Pembemraba

Kama mistari miwili yapandana kuna pembe nne zinazojitokeza. Kama pembe hizi zote ni sawa basi ni pembemraba.