Nyuzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|250px|Nyuzi ya 45° '''Nyuzi''' ni kizio cha kupimia pembe. Msingi wake ni mzunguko kamili wa duara unaogawiwa kwa sehemu 360. Kwa kawaida nyuzi ...
 
No edit summary
Mstari 5:
 
==Historia==
Asili ya hesabu hii huaminiwa kuwa katika [[Babeli]] ya Kale. Wababeli walihesabu [[mwaka]] kuwa na siku 360 na wakitazama [[nyota]] waliona ya kwamba kila [[siku]] zilihama takriban kiwango cha 1/360 cha duara.
 
Katika jiometria muundo huu ulielezwa kimsingi na mwana[[falaki]] [[Hipparchos wa Nikaia]] ([[190 KK]]–[[120 KK]]).