Revocatus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Revocatus''' (kut. [[Kilat.]] "revocare" -'' kuita tena'') ni mmoja wa mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa mnamo mwaka [[7 Machi]] [[203]] mjini [[Karthago]] wakati wa kudhulumiwa kwa Wakristo chini ya serikali ya Kaisari [[Septimius Severus]] (193-211). Aheshimiwa kati ya [[watakatifu wakristo]].
 
Revocatus akumbukwa pamoja na watakatifu [[Perpetua Mtakatifu|Perpetua]] na [[Felista Mtakatifu|Felista]] wanaojulikana zaidi kama mashahidi wakristo wa Afrika ya Kaskazini.