Omega : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: framed|Omega '''Omega''' ni herufi ya 24 pia ya mwisho katika alfabeti ya Kigiriki. Jina la Kigiriki lamaanisha "O kubwa" kwa kutofautisha na Omikron ...
 
No edit summary
Mstari 5:
 
Alama yake ilikuwa pia na maana ya namba 800.
 
Katika sayansi omega hutumiwa hasa kama alama ya [[omu]] (Ohm) yaani kipimo cha [[ukinzani wa umeme]].
 
Omega ikiwa herufi ya mwisho ya alfabeti ya Kigiriki hutumiwa mara nyingi kwa kutaja mwisho. Hivyo ni kinyume cha mwanzo au [[alfa]]. Usemi wa Biblia hujulikana kuhusu Mungu kuwa ni "Alfa na Omega, mwanzo na mwisho" ([[Ufunuo wa Yohane]] 21:6).