Uzoroasta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
Kwa sababu [[binadamu]] ana [[hiari]], watu lazima wawe na [[uwajibikaji]] kwa [[maadili]] wanayoyachagua. Kwa kutumia hiari, watu lazima wawe na [[jukumu]] tendaji katika [[mgogoro]] wa [[dunia]] nzima, na mawazo mema, maneno mema na matendo mema ili kuhakikisha [[furaha]] na kuepuka machafuko.
 
Zamani dini iliyo ilikuwa kubwa, lakini siku hizi imebaki na watu 127,000 hadi 190,000 tu.
 
{{mbegu-dini}}