Mwanaanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza el:Αστροναύτης
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Piers Sellers spacewalk.jpg|thumb|300px|Mwanaanga Piers Sellers nje ya chombo cha [[space shuttle]] tar. 12 Juni 2006]]
'''Mwanaanga''' ni mtu anayerushwa katika [[anga la nje]] lililo nje ya [[angahewa]] ya [[dunia]]. Majina mengine yaliyokuwa kawaida ni "kosmonavti" ([[Kirusi]] космонавт) kwa wanaanga Warusi na "astronauti" ([[Kiing.]] astronaut) wa wanaanga kutoka Marekani. Wachina wametumia neno "taikonauti".