Kitigrinya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuunganisha na Tigrinya
Mstari 1:
{{Contains Ethiopic text}}
{{Infobox Language
|jina=Tigrinya
|nativename=ትግርኛ ''tigriññā''
|pronunciation={{IPA|/tɨɡrɨɲa/}}
|jimbo=[[Eritrea]], [[Ethiopia]]
|region=[[Eritrea]], [[Ethiopia]], especially in [[Tigray Region|Tigray]]
|speakers=6.7 million<ref>In 2005, Ethnologue estimated a total of 4.45 million Tigrinya speakers ranging over all countries; 3.2 million in Ethiopia, 1.2 million in Eritrea, 10,000 [[Beta Israel]]s in Israel (the remaining 15,000 are unaccounted for).[http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=tir] The Tigrinya ethnic group, almost entirely Tigrinya speaking{{Citation needed|date=March 2007}}, is estimated at 3.3 million by Ethnologue, whereas other estimates indicate 4.3 million in Ethiopia ([http://www.csa.gov.et/text_files/2005_national_statistics.htm CSA 2005 National Statistics], Table B.3.), 2.4 million in Eritrea (July 2006).[https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/er.html]</ref>
|familycolor=Afro-Asiatic
|fam2=[[Semitic languages|Semitic]]
|fam3=[[South Semitic languages|South Semitic]]
|fam4=[[Ethiopic languages|Ethiopic]]
|fam5=[[North Ethiopic]]
|script=[[Ge'ez alphabet]] [[abugida]]
|nation=[[Eritrea]] (working language)
|iso1=ti|iso2=tir|iso3=tir}}
 
'''Kitigrinya''' (pia: '''Kitigray, Kitigre, Kihabesha''') ni [[lugha ya Kisemiti]] inayozungumzwa katika [[Ethiopia]] (hasa jimbo la [[Tigray]]) na [[Eritrea]].
 
Line 4 ⟶ 21:
 
Katika Ethiopia Kitigrinya ni lugha ya tatu inayotumiwa na watu wengi (baada ya [[Kioromo]] na [[Kiamhari]]). Katika Eritrea ni lugha inayotumiwa zaidi kabisa.
 
'''Kitigrinya''' ( ትግርኛ, ''tigriññā''), pia huandikwa '''Tigrigna''', '''Tigrina''', '''Tigriña''', ni lugha ya pili ambayo huzungumza na watu wa jamii ya [[Tigray]] katikati mwa jimbo la [[Eritrea]] ambapo lugha hii ni moja kati ya lugha mbili muhimu katika watu wa Eritrea na katika jimbo ya Tigray, nchini Ethiopia. Wazungumzaji wa lugha hii huitwa [[Watigray]] ambapo lugha hii kutumika kama lugha maalum miongoni mwao na pia katika vijisehemu vya wahamiaji katika maeneo haya ikiwa ni pamoja na watu wa jamii ya [[Beta Israel]] ambao kwa huishi nchini [[Israeli]].
 
Lugha hii mara nyingi huchanganywa na lugha nyingine ambazo kwa namna fulani hufanana nazo hasa katika matamshi kwa mfano lugha ya [[Kitigre]] ambayo lugha hii hutumika katika maeneo ya ukanda wa chini wa Eritrea, hasa kwa upande wa Kaskazini na Magharibi mwa mjii huu ambapo lugha hii hutumika.
== Historia ya maandiko ==
Maandiko ya mwanzo kabisa ya lugha ya Kitigrinya yanafuata baada ya sheria za jadi zinazopatikana katika wilaya ya [[Logosarda]], yaliyapo kusini mwa Eritrea tokea mwanzoni mwa karne ya 13.<ref>{{cite web
| url = http://www.lmp.ucla.edu/Profile.aspx?LangID=18&menu=004
| title = UCLA Language Materials Project Language Profiles Page: Tigrinya
| publisher = UCLA
| accessdate = 2006-11-10
}}</ref>
 
Katika eneo la Eritrea, wizara ya habari iliamua kuanzisha gazeti la kila wiki liandikwalo kwa lugha ya Kitigrinya lilikua likigharimu takribani senti tano na kuuza nakala zaidi ya 5,000 kila wiki. Katika kipindi hiki, gazeti hili lilifahamika kama la kipekee zaidi.
.<ref name="Ministry">Ministry of Information (1944) ''The First to be Freed—The record of British military administration in Eritrea and Somalia, 1941-1943''. London: His Majesty's Stationery Office.</ref>
 
Lugha ya Kitigrinya ikiwa ni pamoja na lugha ya [[Kiarabu]], zilikuwa moja katika ya lugha rasmi katika shirikisho lilidumu kwa muda mfupi la [[Ethiopia]] na baadae nafasi yake ilichukuliwa na lugha ya [[Kiamhari]]. Tangu kupatikana kwa uhuru wa Eritrea mwaka 1991, lugha ya Kitigrinya iliendelea kutumika kama lugha ya inayotumika zaidi nchini humo, na kuifanya nchi hiyo kuwa nchi pekee dunia kuitambua lugha ya Kitigrinya katika ngazi ya taifa.
 
== Wazungumzaji ==
Nchini Ethiopia, Kitigrinya hutumika kama lugha ya tatu, hii ikiwa na baada ya lugha ya [[Kiamhari]] na [[Kioromo]] wakati nchini Eritrea lugha hii inaongoza kuwa lugha inayotumika zaidi nchini humo. Waongeaji wengine wanaotumia lugha hii ni pamoja na wahamiaji wengi duniani ikiwa pamoja wale wa huko [[Sudan]], [[Saudi Arabia]], [[Marekani]], [[Ujerumani]], [[Italia]], [[Uingereza]], [[Kanada]] na [[Sweden]].
 
Lahaja za Kitigrinya hutofautiana kimatamshi, kimaana na kimaandishi.<ref name="leslau">Leslau, Wolf (1941) ''Documents Tigrigna (Éthiopien Septentrional): Grammaire et Textes''. Paris: Librairie C. Klincksieck.</ref> Hadi sasa, hakuna lahaja ambayo imeshakubaliwa kuwa ndio maalum kwa watumiaji wa lugha hii. Hata hivyo makala haya hayana lengo la kuonesha kutowiana na lahaja hizo.
 
 
== Marejeo ==
{{reflist}}
<!-- Dead note "voigt": Voigt, Rainer Maria (1977) ''Das Tigrinische Verbalsystem''. Berlin: D. Reimer. -->
 
== Bibliografia ==
* Amanuel Sahle (1998) {{unicode|''Säwasäsǝw Tǝgrǝñña bǝsäfiḥ''}}. Lawrencevill, NJ, USA: Red Sea Press. ISBN 1-56902-096-5
* Dan'el Täxlu Räda (1996, Eth. Cal.) ''{{unicode|Zäbänawi säwasəw kʷ'ankʷ'a Təgrəñña}}''. {{unicode|Mäx'älä}}
* Rehman, Abdel. English Tigrigna Dictionary: A Dictionary of the Tigrinya Language: (Asmara) Simon Wallenberg Press. Introduction Pages to the Tigrinya Language ISBN 1-84356-006-2
* Eritrean People's Liberation Front (1985) ''Dictionary, English-Tigrigna-Arabic''. Rome: EPLF.
* ----- (1986) ''Dictionary, Tigrigna-English, mesgebe qalat tigrinya englizenya''. Rome: EPLF.
* Kane, Thomas L. (2000) ''Tigrinya-English Dictionary'' (2 vols). Springfield, VA: Dunwoody Press. ISBN 1-881265-68-4
* [[Wolf Leslau|Leslau, Wolf]] (1941) ''Documents tigrigna: grammaire et textes''. Paris: Libraire C. Klincksieck.
* Mason, John (Ed.) (1996) ''{{unicode|Säwasǝw Tǝgrǝñña}}, Tigrinya Grammar''. Lawrenceville, NJ, USA: Red Sea Press. ISBN 0-932415-20-2 (ISBN 0-932415-21-0, paperback)
* Praetorius, F. (1871) ''Grammatik der Tigriñasprache in Abessinien''. Halle. ISBN 3-487-05191-5 (1974 reprint)
* Täxästä Täxlä et al. (1989, Eth. Cal.) ''{{unicode|Mäzgäbä k'alat Təgrəñña bə-Təgrəñña}}''. Addis Ababa: {{unicode|Nəgd matämiya dərəǧǧət}}.
* [[Edward Ullendorff|Ullendorff, E.]] (1985) ''A Tigrinya Chrestomathy''. Stuttgart: F. Steiner. ISBN 3-515-04314-4
* Ze'im Girma (1983) ''{{unicode|Lǝsanä Ag’azi}}''. Asmara: Government Printing Press.
 
== Viungo vya nje ==
{{interwiki|code=ti}}
{{wiktionarylang|code=ti}}
* '''(en)''' [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=tir Muhtasari kuhusu Kitigrinya kwenye ''Ethnologue'']
* [http://modersmal.skolutveckling.se/tigrinya/ Tigrinya classes for children of Tigrinya-speaking immigrants in Sweden], including teaching materials.
* [http://www.memhr.org/tigrigna/index.shtml Tigrigna online], includes an online English-Tigrinya dictionary.
* Sites with Tigrinya text or sound files (all require a Ge'ez Unicode font such as [ftp://ftp.ethiopic.org/pub/fonts/TrueType/gfzemenu.ttf GF Zemen Unicode]).
** [http://news9.asmarino.com/ Asmarino]: Eritrean exile site.
** [http://www.meskerem.net/ Meskerem]: "Eritrean opposition" website.
** [http://www.shabait.com/staging/publish/category_0012.html Eritrean government site with links to ''Haddas Ertra''], the daily Tigrinya newspaper in Eritrea.
** [http://globalrecordings.net/language/204 Christian recordings in Tigrinya]: [http://globalrecordings.net Global Recordings] website.
** [http://www.filtet.org Tigrina Learning and Playing Game Board - ጸወታ ፍልጠት]: It provides for playful learning of the Ge'ez script and all languages which are written with it.[http://www.erikids.net]
 
{{Modern Semitic languages}}
{{mbegu-lugha}}
{{African Union languages}}
 
{{DEFAULTSORT:Tigrinya}}
 
[[Jamii:Lugha za Ethiopia]]
[[Jamii:Lugha za Eritrea]]