Zohali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
Mstari 9:
 
== [[mwezi|Miezi]] ya Zohali ==
Zohari ina miezi mingi. Miezi thelathini imepewa majina. Kati ya miezi hii [[Titan (Zohali)|Titan]] ni mkubwa mwenye kipenyo cha 5,150 km. Ni mwezi wa pekee unaojulikana kuwa na [[angahewa]]. Miezi ya Rhea, Dione, Tethys na Iapetus ina vipenyo kati ya 1,050 km na 1,530 km.
 
== Bangili za Zohali ==