Dola : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Ukurasa umeelekezwa kwenda Madola
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Dola''' (kutoka [[Ar.]] '''دولة''' ''daulat''; ''nchi, serikali, taifa'') ni utaratibu wa kisiasa wa jamii katika eneo fulani.
#redirect [[Madola]]
 
==Ufafanuzi wa "Dola"==
Fani mbalimbali huwa na maelezo tofauti kiasi juu ya maana ya dola:
* sheria hufundisha dola kuwa mamlaka ya jamii ya taifa; ina tabia tatu za kimsingi ambazo ni
** eneo la dola,
** taifa au watu wa dola na
** mamlaka ya dola juu ya watu na eneo lake.
* [[elimu jamii]] hufundisha kufuatana na [[Max Weber]] dola kuwa jumuiya au jamii ambayo ina mamlaka ya kukubalika ya pekee katika eneo fulani; hivyo ni uhusiano wa utawala wa watu juu ya watu unaofuata haki na sharia.
* elimu siasa hufundisha dola kuwa muundo wa mamlaka ya umma kwa ajili ya kuratibu mambo ya umma.
* falsafa hufundisha dola kuwa utekelezaji wa shabaha za kimaadili za kila mtu na jamii kwa pamoja; Hegel alisema dola ni mwendo wa Mungu katika historia; msingi wake ni akili inayotaka kuwa uhalisia.
 
==Aina za Dola==
Dola hutokea kwa maumbo mbalimbali kwa mfano [[jamhuri]] au [[ufalme]]. Dola inaweza kujitegemea kabisa au kuwa sehemu ya [[shirikisho]] au muungano kama [[Muungano wa Madola ya Amerika]]. Ndani ya maumbo haya kuna njia mbalimbali za kutekeleza mamlaka na kuratibu serikali kwa mfano kwa njia ya demokrasia au udikteta.
 
==Vyombo vya Dola==
Kiini cha dola ni utekelezaji wa mamlaka katika eneo fulani. Hapo kuna chombo kinachoitwa serikali chenye mamlaka haya mkononi. Serikali inaangaliwa na taasisi nyingine.
 
Katika madola ya kisasa kuna mgawanyo wa madaraka wa dola kwa taasisi mbalimbali:
*[[bunge]] huamua juu ya sheria
*[[serikali]] inatekeleza sheria
*[[mahakama]] zinaangalia utekelezaji na kuamua kama kuna mawazo tofauti
 
VYombo vingine ni matawi mbalimbali ya serikali kulingana na [[katiba]] ya dola.
 
== Tazama pia ==
* [[Nchi]]
* [[Taifa]]
* [[Serikali]]
* [[Madola]]
* [[Mgawanyo wa madaraka]]
* [[Jimbo]]
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
[[Category:Siasa]]
[[Category:Sheria]]
[[Category:Madola| ]]
 
[[als:Staat]]
[[ar:دولة]]
[[an:Estato]]
[[arc:ܐܬܪܐ]]
[[ast:País]]
[[gn:Tetã]]
[[az:Dövlət]]
[[bn:রাষ্ট্র]]
[[zh-min-nan:Kok-ka]]
[[map-bms:Negara]]
[[ba:Дәүләт]]
[[be:Дзяржава]]
[[be-x-old:Дзяржава]]
[[bi:Kaontri]]
[[bg:Държава]]
[[bar:Stååd (Politik)]]
[[bs:Država]]
[[br:Stad]]
[[ca:Estat (política)]]
[[cv:Патшалăх]]
[[cs:Stát]]
[[co:Statu]]
[[cy:Gwladwriaeth]]
[[da:Stat]]
[[de:Staat]]
[[dsb:Stat]]
[[et:Riik]]
[[el:Κράτος]]
[[en:State (polity)]]
[[es:Estado]]
[[eo:Ŝtato]]
[[eu:Estatu]]
[[fa:دولت]]
[[hif:State]]
[[fr:État]]
[[fy:Steat]]
[[ff:Leydi]]
[[fur:Stât]]
[[ga:Tír]]
[[gag:Devlet]]
[[gl:Estado]]
[[ko:국가]]
[[haw:Moku‘āina]]
[[hy:Պետություն]]
[[hi:सार्वभौमिक राष्ट्र]]
[[hsb:Stat]]
[[hr:Država]]
[[io:Stato]]
[[ilo:Estado]]
[[id:Negara]]
[[is:Ríki]]
[[it:Stato]]
[[he:מדינה]]
[[jv:Negara]]
[[kn:ದೇಶ]]
[[krc:Кърал]]
[[ka:სახელმწიფო]]
[[csb:Państwò]]
[[kk:Мемлекет]]
[[kv:Канму]]
[[ky:Мамлекет]]
[[la:Civitas]]
[[lv:Valsts]]
[[lb:Staat]]
[[lt:Valstybė]]
[[ln:Letá]]
[[hu:Állam]]
[[mk:Држава]]
[[mg:Firenena]]
[[mi:Rārangi whenua]]
[[xmf:სახენწჷფო]]
[[arz:دوله]]
[[ms:Negara (politik)]]
[[mwl:Stado]]
[[mn:Улс]]
[[nl:Staat]]
[[nds-nl:Staot]]
[[ne:सार्वभौमिक राष्ट्र]]
[[ja:国家]]
[[nap:Stato]]
[[no:Stat]]
[[nn:Stat]]
[[nrm:État]]
[[oc:Estat]]
[[mhr:Кугыжаныш]]
[[uz:Davlat]]
[[pfl:Schdaad]]
[[pnb:ازاد دیس]]
[[ps:دولت]]
[[koi:Канму]]
[[km:ប្រទេស]]
[[tpi:Kantri]]
[[nds:Staat]]
[[pl:Państwo]]
[[pnt:Κράτος]]
[[pt:Estado]]
[[ro:Stat]]
[[rmy:Stato]]
[[qu:Mama llaqta]]
[[rue:Штат]]
[[ru:Государство]]
[[sah:Ил]]
[[sco:Kintra]]
[[sq:Shteti]]
[[scn:Statu]]
[[si:ස්වෛරීය රාජ්‍යය]]
[[sk:Štát]]
[[sl:Država]]
[[szl:Państwo]]
[[so:Dowlad]]
[[ckb:دەوڵەت]]
[[sr:Држава]]
[[sh:Država]]
[[su:Nagara]]
[[fi:Valtio]]
[[sv:Stat]]
[[tl:Estado]]
[[ta:அரசு]]
[[tt:Дәүләт]]
[[th:รัฐ]]
[[tg:Кишвар]]
[[tr:Devlet]]
[[uk:Держава]]
[[ur:ملک]]
[[vec:Stato]]
[[vi:Nhà nước]]
[[fiu-vro:Riik]]
[[zh-classical:國]]
[[war:Estado]]
[[wo:Réew]]
[[yi:מדינה]]
[[zh-yue:國]]
[[zea:Land]]
[[bat-smg:Valstībė]]
[[zh:國 (政治)]]