Koreshi Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 73:
Tarehe [[21 Machi]] [[538 KK]] Koreshi alifika mbele ya sanamu ya Marduk katika hekalu kuu akashika mikono ya sanamu na hivyo kupokelewa kama mfalme wa Babeli.
 
Aliendelea kuthIbitishakuthebitisha viongozi wengi na wakuu wa [[idara]] mbalimbali waliowahi kuwepo chini ya mfalme wa kale.
[[Picha:Persia-Cyrus2-World3.png|350px|thumbnail|right|Upanuzi wa Milki ya Uajemi wakati wa kifo cha Koreshi (njano juu ya mipaka ya kisasa),]]
 
==Koreshi na Wayahudi==
Alipovamia Babeli Koreshi alikuta huko pia jumuiya ya Wayahudi waliopelekwa huko baada ya anguko la Yerusalemu mwaka [[587 KK]] na mfalme [[Nebukadreza II]] wa Babeli. Josephus anatoa taarifa ya kwamba katika miaka yake ya kwanza alifahamiana pia na viongozi Wayahudi. Hatuna taarifa kamili lakini katika mwaka wa tatu baada ya kuteka Naneli Koreishi alitoa amri inayoripotiwa katika [[kitabu cha Ezra]] :
:"Katika mwaka wa kwanza wa mfalme Koreshi, mfalme Koreshi alitoa amri, Kwa habari ya nyumba ya Mungu huko Yerusalemu, nyumba hiyo na ijengwe, mahali watoapo dhabihu, na misingi yake ipigwe na kufanywa imara sana; kuinuka kwake kuwe mikono sitini, na upana wake mikono sitini;ziwepo safu tatu za mawe makubwa, na safu moja ya miti mipya; gharama zake zitolewe katika nyumba ya mfalme. Na vyombo vya dhahabu na fedha, vya nyumba ya Mungu, ambavyo mfalme Nebukadreza alivitoa katika nyumba ya Mungu, iliyoko Yerusalemu, akavileta mpaka Babeli, na virudishwe, vikaingizwe tena katika hekalu lililoko Yerusalemu, kila kimoja mahali pake, na wewe uvitie katika nyumba ya Mungu."
 
Kutokana na amri hii sehemu ya Wayahudi walirudi Yerusalemu ambako mababu wao walifukuzwa zaidi ya miaka 40 wakajenga hekalu upya lakini wengine walibaki na kuwa chanzo cha jumuiya muhimu ya Wayahudi wa Mesopotamia na Uajemi.
 
Kutokana na siasa hii Wayahudi walimheshimu na kumsifu Koreishi kushinda watawala wengine nje ya taifa lao. Koreshi ni mfalme wa mataifa wa pekee anayeitwa "[[Masihi]]" <ref>"Haya ndiyo Bwana amwambiayo Koreshi, masihi wake" Isaya 45,1</ref>
 
==Siasa ya kidini==