Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza simple:Climate
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:ClimateMap World.png|thumb|350px|Ramani ya dunia inayoonyesha kanda za tabianchi kuanzia ikweta: tropiki, yabisi, wastani, kibara na baridi.</center>]]
'''Tabianchi''' inamaanisha jumla ya [[halijoto]], [[unyevuanga]], [[kanieneo ya angahewa]], [[upepo]], [[usimbisajiusimbishaji]] na tabia nyingine zinazoathiri [[hali ya hewa]] katika sehemu fulani ya uso wa f#dunia kwa muda mrefu. Tabianchi ni tofauti na halihewa ikitazama vipindi virefu lakini halihewa inatazama hali ya sasa au katika muda mfupi. Kwa lugha nyingine tunaweza kusema: Tabianchi ni jumla ya halihewa zote zinazoweza kutokea mahali pamoja duniani katika kipindi kisichopungua miaka 30.
Tabianchi inaathiriwa sana na latitudo yaani umbali na ikweta penye mnururisho mwingi wa jua, uso wa nchi, kimo, kuwa karibu au mbali na magimba ya maji na [[mikondo ya bahari]].
Mstari 9:
Kamati ya "Intergovernmental Panel on Climate Change" (IPCC) ilitoa ufafanuzi ufuatao:
 
:''"Tabianchi kwa maana ya kawaida ni "halihewa ya wastani" au kwa umakini zaidi: takwimu za vipimo husika mbalimbali kwa kutazama wastani na ubadilikajibadilikaji katika vipindi vya muda kuanzia miezi hadi miaka mamilioni. Kipindi cha kawaida kiliamuliwa na Shirika la Metorolojia Duniani ''(World Meteorological Organization - WMO)'' ni miaka 30. Vipimo hivi ni pamoja na halijoto, usimbisajiusimbishaji na upepo. ''
 
:''Kwa maana pana zaidi tabianchi ni hali ya tabia hizi kwa dunia yote"''
Mstari 32:
Hizi kanda tano hugawiwa kwa vikundi vya ngazi ya pili kama vile [[msitu wa mvua]], [[monsuni]], [[savana]], nusutropiki, kibara nyevu, kibahari, kimediteranea, nusuaktiki, tundra, barafu ya nchani, jangwa na kadhalika.
===A: Tabianchi ya tropiki===
Tabianchi ya tropiki huwa na halijoto ya juu wakati wote kwenye uwiano wa bahari na nyanda za chini. Miezi yote hupatikana na kiwango cha wastani ya halijoto ya 18[[°C]] au zaidi. Aina hii hugawiwa kwa vikundi:
:'''Tabianchi ya msitu wa mvua wa tropiki''': Miezi yote 12 hupatikana na usimbishaji usiopungua milimita 60. Tabianchi hizi hupatikana hasa katika eneo kati ya latitudo za 5 hadi 10 kusini na kaskazini ya [[ikweta]], mahali pachache hata hadi latitudo ya 25° kutoka ikweta. Muda wote kuna kanieneo ya hewa duni kwa hiyo hakuna tofauti ya majira.
 
:'''Tabianchi ya monsuni ya tropiki''': aina hii ya tabianchi hutokea hasa [[Amerika Kusini]] na katika beseni ya [[Bahari Hindi]] ikisababishwa na upepo wa [[monsuni]] unaobadilika mwelekeo wake kwa utaratibu kimajira. Tabianchi huwa na mwezi kavu zaidi unaotokea mnamo wakati wa [[solistisi]] wa wakati baridi katika nusutufe ya dunia (yaani Desemba kwa nusutufe ya kaskazini na Juni kwa nusutufe ya kusini).
with rainfall less than 60 mm, but more than (100 − [total annual precipitation {mm}/25]).
 
== Subarctic ==