Savana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza zh-classical:莽原氣候
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Oldoinyolengai.jpg|thumb|300px|'''Savana''' mbele ya mlima wa [[Oldoinyo Lengai]], upande wa [[Kenya]]]]
 
'''Savana''' ni aina ya sura ya nchi penye manyasi na mitikiasi michachecha miti. Kiasi cha miti kinategemeana na kiasi cha maji au mvua kinachopatikana.
 
Tabia kuu ya savana ni uhaba wa maji. Tofauti na [[jangwa]] maji yapo ingawa ni kidogo. Kiwango cha kawaida cha mvua ni kati ya milimita 500 na 1500 kwa mwaka.
 
Savana ina wanyama wa pekee wanaodumu katika mazingira haya. Wengi ni wala majani halafu kuna wala nyama wanaowindawanawaowinda wala majani.
 
{{mbegu-jio}}