Buganivilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho ya sanduku
Nyongeza matini
Mstari 13:
| bingwa_wa_jenasi =
}}
'''''Buganivilia''''' ni [[jenasi]] laya [[mmea|mimea]] waotaoinayotoa [[ua|maua]] yenye asili yaoyake katika [[Bara la MarekaniAmerika ya Kusini]] kuanzia [[Brazili]] na kusonga magharibi kuelekea [[Peru]] na kusini hadi [[Argentina]] kusini (Mkoa wa Chubut). Mimea hii ina maua meupe madogo. Sehemu za mimea zenye rangi kali si maua ya kweli lakini aina ya [[jani|majani]] maalum yanayoitwa [[braktea]]. Yanahami maua.
 
Waandishi tofauti wanakubali kuwa kuna kati ya spishi 4 na 18 za jenasi hii. Mmmea huu uligunduliwa nchini [[Brazili]] mnamo mwaka wa 1768, na Philibert Commerçon, Msomi wa mimea kutoka nchi ya Ufaransa alipokuwa akimwandama mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Kifaransa na mpelelezi Louis Antoine de Bougainville wakati wa safari yake ya kuizunguka Dunia.