Michael Jackson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tazama pia: '''Afya na Mwonekano wa Michael Jackson'''
Mstari 22:
Jackson ni mmoja kati ya wasanii wachache waliowekwa mara mbili kwenye [[Rock and Roll Hall of Fame]]. Mafanikio mengine yanajumlisha ''[[Guinness World Records]]'' (ikiwa ni pamoja ''Mburudishaji Mwenye Mafanikio kwa Muda Wote''), Tuzo za [[Grammy Award|Grammy]] 15 (ikiwa ni pamoja na ile ya ''[[Living Legend Award]]'' na ile ya ''Lifetime Achievement Award''), 26 [[American Music Awards]] (24 akiwa kama msanii pekee ya kujitegemea, ikiwa ni pamoja na moja kwa ajili ya ''Msanii wa Karne'')—zaidi ya msanii mwingine yeyote— single zake 17 zimeshika nafasi ya kwanza huko nchini Marekani (ikiwa ni pamoja na nne akiwa kama mwanachama wa kina Jackson 5), na inakadiriwa kafanya mauzo ya rekodi zaidi ya milioni 750 dunia nzima,<ref name=" Michael Jackson album sales soar">{{cite web |url=http://edition.cnn.com/2009/SHOWBIZ/Music/06/26/michael.jackson.album.sales/|title= Michael Jackson album sales soar|publisher=[[CNN]]|date=2009-06-26|accessdate=2009-09-02}}</ref> inafanya kuwa miongoni mwa wasanii waliouza rekodi zao vilivyo kwa muda wote na haijawahi kutokea .<ref>{{cite web|last=Bialik |first=Carl |url=http://online.wsj.com/article/SB124760651612341407.html |title=The Wall Street Journal, Spun: The Off-the-Wall Accounting of Record Sales by Carl Bialik, Retrieved August 21, 2009 |publisher=Online.wsj.com |date=July 15, 2009 |accessdate=September 2, 2009}}</ref>
 
Maisha binafsi ya Jackson yamezua utata kwa miaka kadhaa. [[Afya na Mwonekano wa Michael Jackson|Kujibadilisha kwa mwonekano wake]] ilianza kutambulika tangu mwishoni mwa miaka ya 1970 na kuendelea, kwa kubadilisha pua yake, na rangi ya ngozi yake, imesababisha makisio kadha wa kadha katika vyombo vya habari. Mnamo mwaka wa 1993 alishtakiwa kwa kosa la udhalilishaji wa kijinsia kwa mtoto, ingawa hakuna mashtaka yoyote yaliyotolewa dhidi yake. Mnamo mwaka wa 2005 amejaribu kuachana na mashtaka kama yale ya awali. Ameoa mara mbili, kwanza alioa mnamo 1994 na akaja kuoa tena mnamo 1996. Amepata watoto watatu, mmoja alizaliwa kwa mama mwenye kuchukua mimba kwa ajili ya familia fulani.
 
Jackson amekufa mnamo tar. 25 Juni, 2009 kwa kuzidisha kiasi cha dawa wakati anajiandaa na ziara ya tamasha lake la [[This Is It|''This Is It'']], ambalo lilitakiwa lianze katikati mwa mwaka wa 2009. Ameripotiwa kwamba alitumia dawa aina ya [[propofol]] na [[lorazepam]]. Afisa uchunguzi wa vifo wa Wilaya ya Los Angeles ameelezwa kuwa kifo chake ni uuaji wa binadamu, na mashtaka yanakwenda kwa daktari wake binafsi kwa kosa la kuua bila kukusudia. Kifo cha Jackson kimeamsha mihemko ya huzuni ulimwenguni, na huduma ya ukumbusho wake uliofanywa hadharani, ulitangazwa duniani, ulitazamwa na maelfu ya watu moja kwa moja.<ref>Bucci, Paul and Wood, Graeme. [http://www.vancouversun.com/Entertainment/Michael+Jackson+billion+people+estimated+watching+gold+plated+casket+memorial+service/1767503/story.html Michael Jackson RIP: One billion people estimated watching for gold-plated casket at memorial service]. ''The Vancouver Sun'', July 7, 2009.</ref>
Mstari 54:
* ''[[HIStory: Past, Present and Future, Book I]]'' (1995)
* ''[[Invincible (albamu ya Michael Jackson)|Invincible]]'' (2001)
==Tazama pia==
*[[Afya na Mwonekano wa Michael Jackson]]
 
== Marejeo ==