Dondoo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza sanduku la uanapwa
Nyongeza jina
Mstari 20:
''[[Raphicerus sharpei|R. sharpei]]'' <small>([[Oldfield Thomas|Thomas]], 1897)</small>
}}
'''Dondoo''', '''dondoro''' au '''dondoroisha''' ni [[mnyama|wanyamapori]] wadogo wa [[jenasi]] ''[[Raphicerus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]] wenye masikio makubwa. Wana rangi ya mchanga inayoelekea nyekundu na mara nyingi madoa au milima nyeupe. Madume wana pembe fupi na laini. Wanatokea Afrika ya Kusini na ya Mashariki katika maeneo mbalimbali kutoka ukando wa jangwa mpaka vilima vyenye msitu wazi. Wanyama hawa hula [[jani|majani]], vitawi, mizizi na [[kiazi|viazi]].
 
==Spishi==
* ''Raphicerus campestris'' [[Dondoo-nyika]] au Isha ([[w:Steenbok|Steenbok]])
* ''Raphicerus melanotis'' [[Dondoo Kusi]] ([[w:Cape Grysbok|Cape Grysbok]])
* ''Raphicerus sharpei'' [[Dondoo wa Sharpe]] ([[w:Sharpe's Grysbok|Sharpe's Grysbok]])