Mamie Eisenhower : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza pnb:میمی آئزن ہاور
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Image:Mamie Eisenhower color photo portrait, White House, May 1954.jpg|thumb|right|250px|Mamie Eisenhower akiwa katika Ikulu ya [[Marekani]].]]
 
'''Mamie Geneva Doud Eisenhower''' ([[14 Novemba]], [[1896]] - [[1 Novemba]], [[1979]]) alikuwa mke wa Rais-Jenerali wa zamani wa [[Marekani]] Bw. [[Dwight D. Eisenhower]]. Alianza kuwa [[Marekani|Mwanamke wa Kwanza]] wa [[Marekani]] kuanzia mwaka [[1953]] hadi [[1961]]. Mamie na Eisenhower walioana mnamo mwezi [[Julai]] ya mwaka wa [[1916]].
 
Mamie alizaliwa mjini Boone, [[Iowa]]. Alikuwa mtoto wa mzee John Sheldon Doud. Babake na Mamie alikuwa tajiri wa kutosha, kwakuwa alikuwa anamiliki kiwanda cha kusindika nyama za kopo. Kuna kipindi, familia ya mzee Doud iliishi kidogo mjini Pueblo, Colorado.
 
Kisha Familia ikahamia na kuweka makazi yake rasmi katika mji wa Denver, Colorado. Wakiwa huko, Mamie na ndugu zake wengine wa kike watatu walikulia huko wakiwa katika mazingira ya mjumba mkubwa kabisa usio na kifani. Na nyumba ilikuwa na wahudumu wengi kupita kiasi.
 
Ilipofika mnamo mwaka wa 1915 Mamie alkakutana na Bw. [[Dwight D. Eisenhower]]. Na kwa kipindi hicho Bw. Eisenhower alikuwa na cheo cha Luteni masaidizi katika [[Jeshi]]. Mwaka uliofuatia katika siku ya wapendanao duniani, wawili hao wakavishana pete ya uchumba. Na ilivyofika tar. [[1 Julai]] ya mwaka wa [[1916]] wakajaaliwa kuoana.
 
==Viungo vya nje==
* {{imdb name|id=0252034}}