Njia Nyeupe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza vep:Maidote
d Minor fix using AWB
Mstari 2:
[[Picha:Hubble2005-01-barred-spiral-galaxy-NGC1300.jpg|thumb|250px|Galaksi yetu jinsi inaaminiwa kuonekana vile kama tunaiangalia kutoka juu; picha ya galaksi ya mbali yenye mikono miwili ya parafujo]]
 
'''Njia nyeupe''', pia '''majarra''' au "mkokoto wa kondoo za Sumaili" <ref>yaani njia ya kondoo wa Ismaili; kuhusu majina ya nyota na sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina asilia linganisha Jan Knappert, Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]</ref> ni jina kwa kanda la nyota nyingi inaloonekana wakati wa usiku angani kama wingu neupe linalong`aa.
 
Hali halisi hii ni jinsi tunavyoona [[galaksi]] yetu ambamo [[jua]] letu na [[mfumo wa jua|mfumo wake]] ni sehemu yake.
 
Galaksi yetu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Umbo lake unafanana na kisahani chense umbo la parafujo. [[Kipenyo]] cha kisahani hiki ni [[miaka ya nuru]] 100,000 ikiwa na unene wa miaka ya nuru 3,000. Galaksi ya jirani iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda]] ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5 .
 
== Kuonekana kwa Njia Nyeupe kutoka duniani ==
 
[[Nyota]] karibu zote zote tunazoona kwa macho yetu wakati wa usiku ni sehemu za Njia Nyeupe. Wakati wa giza tunaweza kuona kati ya nyota 3,000 hadi 5,000 kwa macho yetu bila msaada wa [[darubini]]. Isipokuwa [[sayari]] za jua letu na [[kometi]] ''(zinazoonekana mara chache tu)'' na [[galaksi ya Andromeda]] ''(inayoonekana kama nyota 1)'' nyota zote ni majua kama jua letu. Si rahisi kuona nyota nyingi tukiwa mjini penye nuru nyingi wakati wa usiku kwa sababu mwanga wa taa za mjini unaakisiwa katika [[angahewa]] na kuleta matata ya kuona mwanga kutoka nje ya angahewa.
 
Line 17 ⟶ 16:
 
== Muundo ==
Galaksi yetu ina umbo la parafujo (spirali) ya kisahani. Mahali petu pamoja na jua pako kando kiasi ndani ya uwiano wa kisahani hiki. Tuko takriban 2/3 ya umbali wa kipenyo kutoka kitovu cha kisahani.
 
Ikitazamiwa kutoka juu galaksi yetu ina umbo la parafujo lenye mikono mbalimbali. Picha hii tumepata kutokana na kuangalia galaksi za mbali angani zinazoonekana kutoka juu na parafujo inaonekana.
Line 24 ⟶ 23:
 
== Marejeo ==
* {{Marejeo}}
* <references/>
 
== Soma pia ==
* Thorsten Dambeck in ''Sky and Telescope'', "Gaia's Mission to the Milky Way", MarchMachi 2008, p.&nbsp;36–39.
* [http://www.astro.caltech.edu/~george/ay20/Chiappini-MilkyWay.pdf Cristina Chiappini, The Formation and Evolution of the Milky Way, American Scientist, November/December 2001, pp. 506-515]
 
Line 51 ⟶ 50:
* [http://www.spitzer.caltech.edu/Media/releases/ssc2006-02/ssc2006-02a.shtml Galactic center mosaic via sun-orbiting Spitzer infrared telescope]
* [http://www.ras.ucalgary.ca/CGPS/where/plan/ Milky Way Plan Views], The University of Calgary Radio Astronomy Laboratory
* [http://www.sciam.com/article.cfm?chanID=sa006&articleID=0000107A-6236-1FD5-A23683414B7F0000 Our Growing, Breathing Galaxy], Scientific American Magazine (JanuaryJanuari 2004 Issue)
* [http://www.skynightly.com/reports/Deriving_The_Shape_Of_The_Galactic_Stellar_Disc.html Deriving The Shape Of The Galactic Stellar Disc], SkyNightly (March 17, Machi 2006)
* [http://www.digitalskyllc.com Digital Sky LLC], Digital Sky's Milky Way Panorama and other images
* [http://freeimages.reliable-facts.com/earth_and_space/pages/The_Milky_Way.htm A new view of the Milky Way galaxy] obtained by the Diffuse Infrared Background Experiment (DIRBE) on NASA's Cosmic Background Explorer satellite (COBE).