Kipindupindu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza yi:כאלערע
d Minor fix using AWB
Mstari 18:
}}</ref>
Vifo kutokamana na ugonjwa huu katika bara Afrika ni takriban 5%.
 
 
 
== Matibabu ==
Line 49 ⟶ 47:
Mnamo mwaka 1816-1826 ndio kulikuwa na '''janga la kwanza la kipindupindu''' mjini [[Bengal]], nchini [[India]]. [[Waingereza]] 10,000 na wenyeji [[India]] walikufa.<ref>[http://www.earlyamerica.com/review/2000_fall/1832_cholera_part1.html The 1832 Cholera Epidemic in New York State], By G. William Beardslee.</ref>
 
Janga la '''pili la kipindupindu''' lilikuwa mnamo 1829-1851 iliyoenea nchini [[Urusi]], [[Hungaria]], [[Ujerumani]] na [[London]]. Zaidi ya watu 55,000 walikufa kutoka Uingereza.<ref>[http://www.ph.ucla.edu/EPI/snow/pandemic1826-37.html Asiatic Cholera Pandemic of 1826-37].</ref> Mwaka wa 1831, watu 150,000 walikufa kutokana na janga hili nchini [[Misri]].<ref>[http://whqlibdoc.who.int/bulletin/1947-1948/Vol1-No2/bulletin_1948_1(2)_353-381.pdf Cholera Epidemic in Egypt (1947)].</ref>
 
Mwaka wa 1849, kipindupindu ilizuka tena kwa mara ya pili mjini [[Paris]].<ref>[http://www.oocities.com/CapitolHill/Congress/2807/irishfamine.html The Irish Famine].</ref> Mjini [[London]], watu 14,137 walikufa.
Line 59 ⟶ 57:
Mwaka wa 2000, wagonjwa 14000 waliripotiwa kuugua kutokana na kipindupindu. Takriban 87% waliripotiwa kutoka bara la [[Afrika]].<ref>[http://www.worldwaterday.org/wwday/2001/disease/cholera.html Disease fact sheet: Cholera]. IRC International Water and Sanitation Centre.</ref>
 
Julai - DisembaDesemba 2007: ukame wa maji safi ya kunywa nchini [[Irak]] ilisababisha janga la [[Kipindupindu]].<ref>{{cite news |first= |last= |authorlink= |author= |coauthors= |title=U.N. reports cholera outbreak in northern Iraq |url=http://www.cnn.com/2007/WORLD/meast/08/29/iraq.cholera/index.html |work= |publisher=CNN |id= |pages= |page= |date= |accessdate=2007-08-30 |quote= }}</ref> Watu 22 walifariki.<ref>[http://www.guardian.co.uk/world/2007/dec/02/iraq.davidsmith Cholera crisis hits Baghdad], The Observer, 2 DecemberDesemba 2007.</ref>
 
Mnamo Agosti 2007 mjini Orissa, India. Zaidi ya watu 2,000 walilazwa hospitalini.<ref>[http://news.bbc.co.uk/2/hi/south_asia/6968281.stm Cholera death toll in India rises], BBC News.</ref>
Line 77 ⟶ 75:
 
== Marejeo ==
{{reflistMarejeo}}
 
[[Jamii:Biolojia]]