Isidori wa Sevilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza ko:이시도르
d Minor fix using AWB
Mstari 10:
 
== Maisha ==
Alizaliwa na Severianus na Turtura huko [[Cartagena (Hispania)]], akiwa wa nne kati ya watoto watano, ambao wanne kati yao wanaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama watakatifu: [[Leandro wa Sevilia]], Fulgensi, [[Fiorentina wa Cartagena]] naye mwenyewe.
 
Alizaliwa na Severianus na Turtura huko [[Cartagena (Hispania)]], akiwa wa nne kati ya watoto watano, ambao wanne kati yao wanaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama watakatifu: [[Leandro wa Sevilia]], Fulgensi, [[Fiorentina wa Cartagena]] naye mwenyewe.
 
Baada ya kuwa [[mkleri]] huko Sevilia, Isidori alimrithi kaka yake Leandro kama askofu wa [[dayosisi|jimbo]] kuu hilo.
Line 20 ⟶ 19:
 
== Maandishi ==
 
Aliandika sana juu ya mambo mbalimbali: [[sayansi]], [[historia]], [[teolojia]], [[maadili]] na ufafanuzi wa [[Biblia]].
 
Vitabu muhimu zaidi ni vile 20 vya ''Etymologiae'', ambavyo vilikusanya ujuzi wote wa wakati ule vikatumika sana katika [[Karne za Kati]]. Tafsiri yake ya kwanza kwa [[Kiingereza]] ni: Barney, Stephen A., Lewis, W. J., Beach, J. A. and Berghof, Oliver (translators). ''The Etymologies of Isidore of Seville.'' Cambridge: [[Cambridge University Press]], 2006. ISBN 0521837499, ISBN 9780521837491.
 
==Vyanzo==
Line 29 ⟶ 27:
*Herren, Michael. "On the Earliest Irish Acquaintance with Isidore of Seville." ''Visigothic Spain: New Approaches''. [[Edward James (historian)|James, Edward]] (ed). Oxford: [[Oxford University Press]], 1980. ISBN 0-19-822543-1.
*Englisch, Brigitte. "Die Artes liberales im frühen Mittelalter." Stuttgart, 1994.
*Jones, Peter. [http://www.telegraph.co.uk/arts/main.jhtml?xml=/arts/2006/08/27/bobar20.xml "Patron saint of the internet"], telegraph.co.uk., August 27, Agosti 2006 (Review of ''The Etymologies of Isidore of Seville'', Cambridge University Press, 2006 (ISBN 0-521-83749-9)
*Shachtman, Noah. [http://www.wired.com/news/culture/1,49995-0.html "Searchin' for the Surfer's Saint"], wired.com., January 25, Januari 2002
 
== Viungo vya nje ==