Ugiriki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza bxr:Грек
d Minor fix using AWB
Mstari 7:
|symbol_type = Nembo
|image_map = Europe location GRE.png
|national_motto = Ελευθερία ή Θάνατος
(Eleftheria i thanatos - "Uhuru au mauti")
|national_anthem = Ύμνος εις την Ελευθερίαν - "Wimbo la Uhuru"
|official_languages = [[Kigiriki]]
Mstari 14:
|largest_city = [[Athens]]
|government_type = [[Jamhuri]]
|leader_titles = [[Rais wa Ugiriki|Rais]]
[[Waziri Mkuu wa Ugiriki|Waziri Mkuu]]
|leader_names = [[Karolos Papoulias]]
[[George Papandreou]]
|accessionEUdate = [[Januari 1 Januari]], [[1981]]
|area_rank = ya 96
|area_magnitude = 1 E11
Mstari 22:
|percent_water = 0.8669
|population_estimate = 11,244,118
|population_estimate_rank = ya 74
|population_estimate_year = 2005
|population_census = 10,964,020
|population_census_year = 2001
|population_density = 84
|population_density_rank = ya 108
|GDP_PPP_rank = ya 37
|GDP_PPP_year = 2006
|GDP_PPP_per_capita = $23,518
|GDP_PPP_per_capita_rank = ya 30
|sovereignty_type = [[Uhuru]]
Mstari 45:
|currency = [[Euro]] ([[Euro sign|€]])2
|currency_code = EUR
|country_code =
|time_zone = [[Eastern European Time|EET]]
|utc_offset = +2
Mstari 52:
|cctld = [[.gr]] 3
|calling_code = 30
|footnotes = 1 Wananchi walikataza kurudi kwa ufalme tar. 8 Desemba 1974.
2 Prior to 2001: [[Drachma|Greek Drachma]].
'''Ugiriki''' (pia: Uyunani; kigir.: Ελλάδα (elada) au Ελλάς (elas) ni nchi ya [[Ulaya]] Kusini-Mashariki katika kusini ya rasi ya [[Balkani]]. Imepakana na [[Albania]], [[Jamhuri ya Masedonia]], [[Bulgaria]] na [[Uturuki]].
Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna pwani ndefu na [[Bahari ya Mediteranea]].
Baharini kuna visiwa vingi sana ambavyo ni sehemu za Ugiriki.
Ugiriki ni nchi yenye historia ndefu na maarufu sana, hata inaitwa "nchi mama ya Ulaya".
[[Lugha]] ya [[Kigiriki]] inaendelea kuandikwa kwa [[Alfabeti ya Kigiriki]] inaotumiwa tangu miaka 3000, lakini lugha yenyewe imebadilika. Wagiriki wa leo hawaelewi tena [[Kigiriki cha Kale]] moja kwa moja.
Ugiriki ni nchi mwanachama wa [[Umoja wa Ulaya]] tangu [[1981]].
== Viungo vya nje ==