Gran Turismo (mchezo wa video) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Gran Turismo''' (kawaida huandikwa '''GT''' au '''GT1''') ni mchezo wa kuendesha motoka ulioundwa na Kazunori Yamauchi. ''Gran Turismo'' ilitengenezwa na polyphony Digital na kwanza ilichapishwa na [[Sony Computer Entertainment]] mwaka [[1997]] kwa PlayStation video. Awali mchezo huu uliuzwa katika Ujapani tu lakini umaarufu wa mchezo umesababisha kuundwa kwa toleo la Marekani na kisha toleo la Ulaya ambao inauzwa katika nchi nyingine.
 
==Jinsi inavyochezwa==
''Gran Turismo'' Kimsingi kuzingatia uendeshaji wa magari/udereva. Mchezaji huendesha [[motokaa]] kushindana dhidi ya madereva wengine katika barabara mbalimbali za mashindano.
 
''Gran Turismo'' ina magari 178 na barabara 11.
 
==Mapokezi==
Mchezo huu ulisifiwa na wakosoaji wakiwemo IGN (9.5/10), Gamespot(8.6/10) na gazeti rasmi la Playstation (5 / 5). Kufikia [[30 Aprili 30, 2008,]] mcezo huu umeuza kopi milioni 2.55 katika Ujapani, 10000 katika Asia ya Kusini, milioni 4.3 katika Ulaya, na milioni 3.99 Amerika ya Kaskazini kwa jumla ya kopi milioni 10.85.
 
==Viungo vya Nje==