Financial Times : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: fa:فایننشیال تایمز
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Financial Times New.png|thumb|right|220px|Financial Times, April 23, Aprili 2007]]
'''Financial Times''' (FT) ni gazeti la biashara la kimataifa kutoka nchini [[Uingereza]]. Ni gazeti ambalo hutolewa kila siku asubuhi na huchapishwa katika sehemu 24 huko [[London]].<ref>London, [[Leeds]], [[Dublin]], [[Paris]], [[Frankfurt]], [[Stockholm]], [[Milan]], [[Madrid]], [[New York City|New York]], [[Chicago]], [[Los Angeles]], [[San Francisco]], [[Dallas]], [[Atlanta]], [[Miami]], [[Washington, D.C.]], [[Tokyo]], [[Hong Kong]], [[Singapore]], [[Seoul]], [[Dubai]], [[Johannesburg]] and [[Istanbul]].</ref> Gazeti hili, ni mshindani mkubwa kabisa wa gazeti lenye makao yake makuu huko [[New York City]]-[[Wall Street Journal]]. Hivi sasa, mhariri wake ni Lionel Barber.
 
Ilianzishwa mwaka wa 1888 na James Sheridan na ndugu yake, Financial Times hushindana na magazeti mengine manne ya kibiashara, mwaka 1945 iliipita gazeti la Financial News (lililoanzishwa mnamo mwaka 1884). Kwa kipindi hicho, FT wao walikuwa wamejikita katika habari za kibiashara na fedha, wakati huohuo walikuwa wakijipanga kuja na mwonekano mwingine wa kujitegemea. FT ni gazeti pekee linalotoa habari za biashara na [[Soko la hisa la London]] kila siku huko nchini Uingereza.
 
== Marejeo ==
{{marejeoMarejeo}}
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.ft.com/ Financial Times]
 
{{mbeguMbegu-uchumi}}
 
[[Jamii:Magazeti]]