Ellen Johnson-Sirleaf : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza simple:Ellen Johnson-Sirleaf
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Ellen Johnson-Sirleaf, April 2010.jpg|thumb|Ellen Johnson-Sirleaf]]
 
'''Ellen Johnson-Sirleaf''' (alizaliwa 29 Oktoba 29, 1938 nchini [[Liberia]]) amekuwa [[rais]] wa kwanza mwanamke barani [[Afrika]] baada ya kushinda katika [[uchaguzi]] wa mwaka [[2005]]. Johnson-Sirleaf ameshika nyadhifa mbalimbali serikalini na katika mashirika ya kimataifa. Baada ya kumaliza masomo katika chuo kikuu cha [[Harvard]], alifanya kazi katika serikali ya Rais [[William Tolbert]] mwaka wa 1970 akiwa ni Waziri wa Fedha.
 
Johnson amekuwa Rais wa kwanza mwanamke barani [[Afrika]]. Hata hivyo yeye sio mwanamke wa kwanza kuongoza nchi barani Afrika. [[Malikia Zauditu]] wa [[Ethiopia]] aliongoza nchi yake kwa miaka 13 toka mwaka 1917 hadi 1930. [[Ruth Perry]] ni mwanamke wa kwanza Afrika kuwa mkuu wa nchi pale alipokuwa mwenyekiti wa [[urais wa pamoja]] wa jamhuri ya Liberia toka mwaka 1996 hadi 1997.
 
Johnson-Sirleaf alihukumiwa kifungo cha miaka kumi jela mwaka 1985 baada ya kushutumu utawala wa kijeshi nchini humo katika kampeni zake za kugombea ubunge. Alitumia kifungo hicho kwa muda mfupi kabla ya kuachiliwa na baadaye kukimbilia uhamishoni hadi aliporudi mwaka 1997 akiwa anafanyia kazi [[Benki ya Dunia]] na Citibank.
 
Johnson-Sirleaf alimuunga mkono [[Charles Taylor]] wakati wa mapinduzi yake dhidi ya [[Jenerali Samuel Doe]] lakini baadaye alikuja kuwa mpinzani wake mkubwa na hata kugombea urais dhidi yake mwaka 1997. Taylor alimwandana na hata kumpeleka mahakamani kwa madai ya kuhusika na hujuma za kihaini.
 
Uchaguzi wa urais mwaka 2005 ulirudiwa baada wagombea urais kutopata kura za kutosha. Katika raundi ya kwanza Johnson-Sirleaf alikuwa wa pili, wa kwanza alikuwa ni mpinzani wake mkubwa [[George Weah]]. Katika raundi ya pili ya uchaguzi, Johnson-Sirleaf alitangazwa kuwa mshindi. Hata hivyo, George Weah amepeleka mashtaka mahakama kuu akidai kuwa uchaguzi haukuwa wa haki.
 
== Wasifu ==
Ellen Johnson Sirleaf alizaliwa mjini Monrovia, mji mkuu wa Liberia, na elimu ya wazazi. Kabila lake ni nusu Gola kutoka upande wa baba yake, na robo Kru na robo Kijerumani kutoka upande wa mama yake.
Babake Sirleaf Jahmale Carney Johnson, alikuwa mzaliwa wa Liberia wa kwanza kuweza kukaa katika mbunge la taifa.
Sirleaf alisoma maswala ya uchumi na akaunti katika Chuo Afrika Magharibi mjini Monrovia. Aliolewa na James Sirleaf akiwa na miaka 17 tu na kuhamia Marekani katika mwaka wa 1961 ambapo aliendelea na masomo yake katika chuo kikuu cha Colorado na kuhitimu na shahada ya digri. Alisomea maswala ya uchumi na sera za umma katika chuo Chuo Cha Maswala Ya Serikali ya John F. Kennedy, mjini Harvard katika miaka ya 1969 na 1971 na kupata shahada ya maswala ya serikali. Kisha alirudi Liberia na kufanya kazi chini ya rais William Tolbert.
Alikuwa naibu waziri wa fedha kati ya mwaka wa 1972 na 1973. Alikuwa waziri wa fedha toka mwaka wa 1979 hadi Aprili, 1980.
Aliweza kuwa naibu mwenyekiti wa benki ya CitiBank mjini Nairobi, Kenya kutoka mwaka wa 1983-1985. Aliwahi kufungwa mafungo ya nyumbani na Samule Doe aliyepindua serikali kwa kutangaza nia ya kugombea urais.
Baadaye alienda uhamishoni.
Line 22 ⟶ 23:
Ndiye rais wa sasa wa Liberia. Alimshinda alikuwa mwanasoka mashuhuri George Weah na zaidi ya asilimia ishirini katika uchaguzi wa mwaka wa 2005. Uzinduzi ulifanyika tarehe 16 Januari 2006 na ulihudhuriwa na wageni mashuhuri wakiwemo aliyekuwa waziri ya maswala ya kigeni wa Marekani, Condeleeza Rice, Laura Bush na Mitchelle Jean.
Katika mwaka wa 2005 alianzisha tume ya ukweli na maridhiano ambayo ilitoa ripoti yake katika mwaka wa 2009.
 
 
== Hatamu za Uongozi ==
Mstari 37:
 
== Nyadhifa nyingine zilizotangulia ==
* Mwanachama mwanzilishi wa Taasisi ya Kimataifa kwa Wanawake katika uongozi wa kisiasa
* Mwanachama wa bodi ya ushauri wa kisasa wa Kukuza Uchumi na Uwekezaji Afrika Kampuni
* Afisa mwandamizi wa mkopo wa Benki ya Dunia
 
{{Commons category}}
{{commonscat}}
 
[[Jamii:Liberia]]