Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts : Tofauti kati ya masahihisho

d
Minor fix using AWB
d (Minor fix using AWB)
'''Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts''' ('''Massachusetts Institute of Technology''' '''MIT''') ni chuo maarufu nchini Marekani kilichopo kwenye mji wa [[Cambridge, Massachusetts|Cambridge]] karibu na [[Boston]] katika mashariki-kaskazini ya nchi. MIT ina vyuo sita ndani yake na idara 32.<ref>{{cite web |url=http://web.mit.edu/facts/academic.shtml |title=MIT Facts 2007: Academic Schools and Departments, Divisions & Sections|accessdate=2007-02-14}}</ref> Mkazo wake ni utafiti wa sayansi na teknolojia.
 
Wanavyuo wa MIT wamepokea tuzo nyingi pamoja na [[tuzo za Nobel]] 63.<ref>{{cite news|url=http://web.mit.edu/newsoffice/2007/vest_langer_kleppner-0716.html |title=Three from MIT win top U.S. science, technology honors |publisher=MIT News Office |accessdate=2007-07-20 |date=July 19, Julai 2007}}</ref><ref name="National Medal of Science">{{cite web|url=http://web.mit.edu/ir/pop/awards/macarthur.html |title=MIT MacArthur Fellows |author=MIT Office of Provost, Institutional Research |accessdate=2006-12-16}}</ref>.
 
== Viungo vya Nje ==
{{commonsCommons|Massachusetts Institute of Technology}}
* [http://web.mit.edu/ MIT] Tovuti rasmi ya MIT
* [http://my.mit.edu/ MyMIT] Ukurasa wa kupokea wanafunzi
 
== Marejeo ==
{{reflistMarejeo}}
 
{{mbeguMbegu-elimu}}
 
[[Jamii:Association of American Universities]]
9,527

edits