Ajali ya Helikopta ya Polisi 2012, Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
picture of the helicopter that crashed
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[File:Kenyan Police Air Wing AS 350 Potters-1.jpg|right|thumb|Helikopta iliyoanguka]]
'''Ajali ya Helikopta ya Polisi 2012, Kenya''' ilikuwa ajali iliyohusisha ndege iliyoanguka ya aina ya helikopta iliyomilikiwa na Kenya Polisi mnamo Juni 10 Juni, 2012. AS350 Eurocopter ilianguka juu ya mlima, na kuua abiria wote sita na wafanyakazi waliokuwepo. Kati ya walioaga dunia ni aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani na Usalama wa Kenya [[George Saitoti]] na Waziri wake Msaidizi [[Joshua Orwa Ojode]].
 
==Ajali==
Mstari 7:
==Ndege==
Helikopta iliyoanguka, [[Eurocopter AS350]] mkia nambari 5Y-CDT iliyotengenezwa viwandani mwaka 2011, ilikuwa imeenda safari kwa takriban masaa chini ya 100 wakati iliingia kuhudumia Polisi wa [[Kenya]] mwezi Januari mwaka 2012 na alikuwa kusanyiko la zaidi ya masaa 240 ya kusafiri angani tangu wakati huo.Ilikuwa imenunuliwa ili kuchukua nafasi ya helikopta nzee [[Mil Mi-17]] za tawi la Polisi wa Kenya wa Angani.
 
==Mpango wa safari==
Helikopta ilikuwa katika safari kutoka Nairobi hadi kijiji cha Ratang'a katika eneo la mbunge la [[Ndhiwa]], Wilaya ya [[Homa Bay]]. Mawaziri wawili walikuwa wameabiri - Waziri wa mambo ya Ndani na Usalama George Saitoti, ambaye alikuwa ametangaza nia yake ya kugombea urais nchini [[Kenya]], na Naibu wake [[Joshua Orwa Ojode]] - walikuwa wamepanga kuhudhuria mchango wa fedha katika Kanisa Katoliki la Nyarongi . Wawili hao walikuwa wahudhuria Misa, ambayo ilikatishwa na mkuu wa Wilaya na mkuu wa polisi Homa Bay, baada kutoa Habari kuhusu vifo vya wale wanaosubiri kuwasili kwao, ikiwa ni pamoja na mama na ndugu wengine wa karibu wa [[Joshua Orwa Odoje]].