Albert Schweitzer : Tofauti kati ya masahihisho

2 bytes removed ,  miaka 9 iliyopita
Minor fix using AWB
(Minor fix using AWB)
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Albert Schweitzer''' ([[14 Januari]], [[1875]] – [[4 Septemba]], [[1965]]) alikuwa mwanateolojia, mwanafalsafa, mwanamuziki na daktari kutoka eneo la [[Alsatia]], ambalo lilikuwa sehemu ya [[Ujerumani]] kabla ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]], lakini la [[Ufaransa]] baadaye. Mwaka wa [[1952]] alikuwa mshindi wa [[Tuzo ya Nobeli ya Amani]] kwa ajili ya falsafa yake. Hasa anajulikana kwa kuanzisha na kuongoza kituo cha kimisionari na hospitali eneo la [[Lambarene]] nchini [[Gabon]].
 
{{DEFAULTSORT:Schweitzer, Albert}}
9,527

edits