Alexander von Humboldt : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza bar:Alexander von Humboldt
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:AvHumboldt.jpg|thumb|250px|Alexander von Humboldt alivyochorwa na [[Joseph Karl Stieler|Joseph Stieler]] 1843]]
 
'''Friedrich Wilhelm Heinrich Alexander Freiherr von Humboldt''' ([[14 Septemba]], [[1769]] – [[6 Mei]], [[1859]]) alikuwa mpelelezi na mwanasayansi kutoka [[Prussia]] katika [[Ujerumani]]. Kaka yake alikuwa waziri wa elimu wa Prussia na mtaalamu wa lugha.
 
Alexander alifanya utafiti muhimu katika [[jiografia]] na [[biolojia]].
 
Humboldt alizaliwa mjini [[Berlin]]. Babake Alexander Georg von Humboldt alikuwa mwanajeshi wa Prussia. Akiwa mtoto Alexander alipenda kukusanya mimea, konokono na wadudu.