Tofauti kati ya marekesbisho "Benn Haidari"

2 bytes removed ,  miaka 8 iliyopita
Minor fix using AWB
d (clean up using AWB)
(Minor fix using AWB)
 
'''Benn Haidari''' ni mpishi na mwanasiasa, aliazaliwa tarehe [[6 Machi]], [[1949]] katika kijiji cha Mbeni huko [[Ngazija]] visiwa vya [[Komoro]]. Mjomba wake Maalim Said Ilyas akamchukua [[Zanzibar]] mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamia [[Ufini]] 1968.
 
Bw. Haidari alisomea mambo ya upishi kwenye [[visiwa vya Aland]] huko Ufini na akawa katika mpishi mkubwa na wa mwanzo wa kufanya filamu za mapishi katika Televisheni za [[Skandinavia]] mnamo mwaka 1988.
Mwaka 2005 Bw. Haidari alialikwa Ujapani Tokyo kuonesha mapishi yake katika television ya ujapani.
 
Kitabu chake cha kwanza cha mapishi kilitolewa tarehe 25 Januari 2006.
 
Bw. Haidari aligombania Ubunge katika visiwa vya Åland mwaka wa 2007.
9,527

edits