Bibi Titi Mohammed : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: de:Bibi Titi Mohammed
Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Bibi Titi Mohammed''' ([[1926]] - [[5 Novemba]], [[2000]]) alikuwa mmoja wa wanawake wa kwanza kushika nafasi za ubunge na uwaziri nchini [[Tanzania]]. Pia alikuwa kati ya wanawake wa kwanza kujiunga na harakati za kugombea uhuru wa [[Tanganyika]].
 
Mwaka 1969 Bibi Titi Mohammed alikamatwa na mwaka uliofuata alifikishwa mahakamani kwa kosa la kula njama ya kutaka kupindua serikali. Katika kesi hiyo, Bibi Titi alikuwa ni mwanamke pekee katika washtakiwa 7. Baada ya kesi hiyo kusikilizwa alipatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha maisha. Hata hivyo, mwaka 1972 alisamehewa na rais [[Julius Nyerere]].
Mstari 8:
Mnamo mwaka wa 1991, wakati [[Tanzania]] ikisherekea miaka 30 ya uhuru, Bibi Titi ameonekana kwenye makaratasi ya chama tawala kama "Shujaa wa Kike Aliyepigania Uhuru".
 
Mnamo tar. [[5 Novemba]], [[2000]] Mohammed amekufa kwenye hospitali ya Net Care Hospital mjini [[Johannesburg]] ambapo alikuwa akitibiwa.<ref>[http://www.hartford-hwp.com/archives/36/342.html Makala kuhusu kufa kwa Mpigania Uhuru Bi. Titi Mohammed]</ref>
 
Moja kati ya mabarabara makubwa ya mjini [[Dar es Salaam]] yamepewa jina la Mohammed kwa heshima ya mafaniko makubwa aliyoyafanya wakati wa mbio za kutafuta uhuru wa Mtanzania.
 
== Marejeo ==
{{marejeoMarejeo}}
 
== Viungo vya Nje ==
* http://www.gwsafrica.org/knowledge/bibi.html
Line 18 ⟶ 20:
 
 
{{mbeguMbegu-mwanasiasa}}
 
{{DEFAULTSORT:Bibi Titi Mohammed}}