'''Brigham Young''' ([[1 Juni]], [[1801]] - [[29 Agosti]], [[1877]]) alikuwa kiongozi wa [[Wamormoni]] aliyemfuata mwanzilishi [[Joseph Smith, Kijana]] kuanzia mwaka wa [[1847]] hadi kifo chake. Hasa anajulikana kwa kuwaongoza Wamormoni katika safari yao ya kuhamia jimbo la [[Utah]].