Yuri Gagarin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza min:Yuri Gagarin
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Yuri Gagarin official portrait.jpg|thumb|right|Yuri Gagarin]]
 
'''Yuri Alexeyevich Gagarin''' ([[Kirusi]] ''Юрий Алексеевич Гагарин''), alizaliwa tarehe [[9 Machi]], [[1934]] huko [[Klushino]] karibu na [[Smolensk]], [[Urusi]]; alifariki tarehe [[27 Machi]], [[1968]]. Alikuwa [[mwanaanga]] wa kwanza katika historia yaani mtu wa kwanza aliyefika kwenye [[anga la nje]].
 
Alimwoa Valentina Goryachova akawa na mabinti wawili naye. Akajiunga na Jeshi la Anga la Urusi mwaka 1955.
Mstari 7:
Mwaka 1960 aliteuliwa katika kikosi cha kwanza cha marubani walioandaliwa kurushwa kwa anga la nje akateuliwa kuwa mtu wa kwanza wa kutoka duniani.
 
Tarehe [[12 Aprili]], [[1961]] alirushwa na chombo cha angani [[Vostok]] 1 akizunguka dunia lote mara moja katika muda wa dakika 108. Akashuka [[Siberia]].
 
Alipandishwa cheo na kuwa mkuu wa kituo cha kuandaa wanaanga Warusi. Mwaka [[1968]] alikufa katika ajali ya ndege alipofanya mazoezi ya urubani akazikwa kwenye makaburi ya heshima huko [[Moscow]].
 
{{mbeguMbegu-mtu}}
{{DEFAULTSORT:Gagarin, Yuri}}