Ernst Boris Chain : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza jv:Ernst Boris Chain
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Ernst Boris Chain''' ([[19 Juni]], [[1906]] – [[12 Agosti]], [[1979]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Kwa vile alikuwa [[Wayahudi|Myahudi]] alihamia nchi wa [[Uingereza]] wakati wa [[Adolf Hitler]] kupokea utawala wa Ujerumani. Chain hasa alichunguza [[kiua vijasumu|viua vijasumu]]. Mwaka wa [[1945]], pamoja na [[Alexander Fleming]] na [[Howard Walter Florey]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''. Mwaka wa [[1969]] alipewa cheo cha "Sir".
 
{{mbeguMbegu-mwanasayansi}}
 
{{DEFAULTSORT:Chain, Ernst Boris}}