George Porter : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''George Porter''' ([[6 Desemba]], [[1920]] – [[31 Agosti]], [[2002]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Uingereza]]. Hasa alichunguza hali za ulinganifu wa [[molekuli]]. Mwaka wa [[1967]], pamoja na [[Manfred Eigen]] na [[Ronald Norrish]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''. Mwaka wa [[1972]] alipewa cheo cha "Sir".
 
{{mbeguMbegu-mwanasayansi}}
 
{{DEFAULTSORT:Porter, George}}