Helmut Schmidt : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza eu:Helmut Schmidt
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Schmidt.JPG|thumb|right|350px|Helmut Schmidt]]
'''Helmut Heinrich Waldemar Schmidt''' (amezaliwa [[23 Desemba]], [[1918]] mjini [[Hamburg]]) ni mwanasiasa wa Kijerumani na pia alikuwa chancela wa [[Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani|Shirikisho la Jamhuri ya watu wa Ujerumani]] kuanzia 1974 hadi 1982.
 
Helmut Schmidt alizaliwa mjini Hamburg mnamo 1918. Alimaliza shule yake mnamo 1937. Baada ya hapo akawa anafanya kazi katika makampuni kadhaa na baadaye akaja kujiunga na jeshi. Mwishoni mwa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] alikuwa Luteni wa kwanza kuchaguliwa kwa nchi ya Ujerumani tangu vita kwisha. Pia alishawahi kuwa mfungwa wa vita kunako mwaka wa 1945.
Mstari 27:
{{Kanzler}}
 
{{mbeguMbegu-mwanasiasa}}
 
{{commonsCommons}}
 
{{DEFAULTSORT:Schmidt, Helmut}}