Justin Timberlake : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza gl:Justin Timberlake
Minor fix using AWB
Mstari 6:
| jina la kiraia = Justin Timberlake
| jina la kisanii = Justin Timberlake
| alizaliwa = [[31 Januari]], [[1981]]
| alikufa =
| nchi = [[Marekani]]
| aina ya muziki = Pop na R&B
| kazi yake = Mwanamuziki<br />Mwigizaji
| miaka ya kazi =
| ameshirikiana na =
| ala =
| kampuni =
}}
'''Justin Timberlake''' (amezaliwa tar. [[31 Januari]], [[1981]] mjini [[Memphis, Tennessee]]) ni mwimbaji wa muziki wa pop na R&B kutoka nchini [[Marekani]]. Timberlake alianza kujipatia maarufu baada ya kucheza kipindi cha [[televisheni]] ([[Mickey Mouse Club]]) kilichokuwa maalum kwa ajili ya watoto, na baadaye katika kuwa kama mmoja wa washindi wa tuzo ya Grammy-bendi bora ya vijana *NSYNC. Baadaye alianza kuimba akiwa kama msanii pekee na akafanikiwa kutoa albamu mbili za muziki, Justified na FutureSex/LoveSounds.
 
== Wasifu ==
=== Maisha ya awali ===
Line 24 ⟶ 25:
 
Wakati wa maonyesho ya kipindi hicho, Timberlake akakutana na aliyewahi kuwa mpenzi wake ([[Britney Spears]]), na wengine alikuwemo [[Christina Aguilera]], na mshirika mwenzake wa katika bendi bwana [[JC Chasez]]. Ilivyofika mwaka 1995 kipindi kiliisha, na Timberlake akajiunga na bwana Chasez na washikaji wengine, wakaanzisha kundi la muziki lilojulikana kwa jina la *[[NSYNC]]".
 
== Maisha binafsi ==
Timberlake alianza mambo ya mapenzi akiwa yungali mdogo sana, wa kwanza kuwa nae alikuwa mwanafunzi mwenziye na baada ya hapo mwanamuziki wa pop bi. Veronica Finn, lakini penzi lao halikudumu sana wakaachana pasipo na amani.
Line 44 ⟶ 46:
! Mwaka !! Nyimbo !! Albamu
|-
| [[2002]] ||
* "Like I Love You"
* "Cry Me a River"
Line 68 ⟶ 70:
* [[2005]] - "Signs" <small>(na [[Snoop Dogg]] na Charlie Wilson)</small>
* [[2006]] - "Give It to Me" <small>(na [[Timbaland]] na [[Nelly Furtado]])</small>
 
== Filamu alizoigiza ==
* ''Model Behavior'' (2000)
Line 75 ⟶ 78:
* ''Shrek the Third'' (2007)
* ''Southland Tales'' (2008)
 
== Marejeo ==
# http://www.imdb.com/name/nm0005493/
# http://www.gm.tv/index.cfm?articleid=21993
# [http://books.google.ca/books?vid=ISBN0310252474&id=sQWZlfsL3vkC&pg=PA11&lpg=PA11&ots=3sC0_CwEdj&dq=%22Justin+Timberlake%22+BAPTIST&sig=rMbGx0qi6XK1rE8uaZTipLkvKyI|id=ISBN0310252474 Teaching That Makes a Difference: How to Teach for Holistic Impact]
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.justintimberlake.com/ Official Website]
* [http://www.myspace.com/justintimberlake Official Myspace Music Profile]
* {{imdbIMDb name|id=0005493|name=Justin Timberlake}}
 
{{DEFAULTSORT:Timberlake, Justin}}