Musalia Mudavadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Wycliffe [http://MusaliaMudavadi.com Musalia Mudavadi]''' ni mwanasiasa maarufu nchini [[Kenya]]. Alizaliwa [[Septemba 12 Septemba]], [[1960]] katika [[Wilaya ya Vihiga]]. Anajulikana zaidi kwa jina la Musalia Mudavadi.
 
Mudavadi amekuwa mbunge kwa miaka mingi. Aliingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 1989 baada ya baba yake, [[Moses Mudavadi]], aliyekuwa akishikilia kiti hicho kufariki.
 
Alikuwa ndiye makamu wa rais wa mwisho kabla [[Daniel Arap Moi]] hajaondoka madarakani. Inaaminika kuwa alipewa umakamu wa rais ili kushawishi Waluhya kuiunga mkono [[KANU]]. Mpango huu haukufanikiwa.
 
Katika uchaguzi wa urais nchini Kenya mwaka 2002, Mudavadi alikuwa ni mgombea mwenza wa [[Uhuru Kenyatta]]. Pamoja na kuungwa mkono na rais aliyekuwa akimaliza muda wake, Moi, na mtandao mkubwa wa KANU, Kenyatta na Mudavadi walishindwa uchaguzi, Kenyatta hakuchaguliwa kuwa rais na Mudavadi alipoteza kiti cha ubunge wa [[Sabatia]].
Mstari 13:
[http://MusaliaMudavadi.com Tovuti]
 
{{mbeguMbegu-mwanasiasa}}
 
{{DEFAULTSORT:Mudavadi, Musalia}}