Nikolai Basov : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Basov.jpg|thumb|220px|Nikolai Basov]]
'''Nikolai Gennadiyevich Basov''' ([[14 Desemba]], [[1922]] – [[1 Julai]], [[2001]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Urusi]]. Hasa alichunguza mionzi ya aina mbalimbali na kuvumbua [[leza]]. Mwaka wa 1964, pamoja na [[Aleksander Prokhorov]] na [[Charles Townes]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
 
{{Lango|Sayansi}}