Oresund : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza hy:Էրեսուն
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Oresund from helsingborg.jpg|thumb|250px|right|'''Oresund''' inavyoonekana kutoka upande wa [[Uswidi]] ]]
 
'''Oresund''' ([[Kidenmark]]: ''Øresund'', [[Kiswidi]]: ''Öresund'') ni mlango wa bahari unaotenganisha kisiwa cha [[Zealand]] ''(Sjælland)'' katika [[Denmark]] na jimbo la [[Skone]] (''Skåne'') katika [[Uswidi]].
 
Oresund ni moja kati ya milango mitatu ya bahari inayopita katika visiwa vya Denmark na kuunganisha [[Bahari ya Kaskazini]] na [[Bahari ya Baltiki]] kwa njia ya [[Kattegat]] na [[Skagerak]]. Ni kati ya njia za bahari duniani zenye meli nyingi sana.
 
Tangu mwaka [[2000]] kuna daraja la kuvukia Oresund kutoka Denmark kwenda Uswidi. Lilifunguliwa rasmi tarehe Julai 1 Julai mwaka [[2000]] na mfalme [[Carl XVI Gustav wa Uswidi]] na malkia [[Margrethe II wa Denmark]].
 
== Viungi vya nje. ==
Mstari 11:
* [http://www.oresunddirekt.com/ Oresunddirekt] - Official public information site for the inhabitants of the Oresundregion
 
{{mbeguMbegu-jio-Ulaya}}
 
[[Jamii:Ulaya]]