Philipp Lenard : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Minor fix using AWB
Mstari 2:
[[Picha:Lenard.jpg|framed|Philipp Lenard (mnamo 1905)]]
 
'''Philipp Eduard Anton Lenard''' ([[7 Juni]], [[1862]] – [[20 Mei]], [[1947]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Alitayarisha misingi ya nadharia za [[elektroni]]. Pia aliipinga nadharia ya [[Albert Einstein]] (''Relativity Theory''). Mwaka wa [[1905]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
 
{{DEFAULTSORT:Lenard, Philipp}}
{{mbeguMbegu-mwanasayansi}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1862]]