Toni Morrison : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza war:Toni Morrison
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:ToniMorrison.jpg|thumb|right|200px|Toni Morrison]]
'''Toni Morrison''' ni mwandishi wa kike nchini [[Marekani]] na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] ya mwaka 1993.
Alizaliwa kwa jina la Chloe Anthony Wofford tarehe [[18 Februari]], [[1931]] huko [[Lorain, Ohio]] kama mtoto wa pili wa familia ya [[Waamerika weusi]]. Wazazi wake walikuwa wafanyakazi.
 
Alipenda kusoma vitabu tangu utoto. 1949 akajiunga na chuo kikuu cha Howard (chuo kwa Waamerika weusi katika mji mkuu [[Washington D.C.]]) akimaliza kwa digrii ya BA katika somo la [[Kiingereza]]. Wakati ule aliacha jina lake la Chloe akatumia "Toni" kama kifupi cha "Anthony". Mwaka 1955 alipata MA (shahada ya pili) kutoka chuo kikuu cha Cornell.
 
Alianza kufundisha fasihi kwenye chuo kikuu cha Texas Kusini mjini Houston, tangu 1957 tena Howard. Aliolewa na Howard Morrison akazaa watoto wawili. Baada ya talaka mwaka 1964 alianza kazi ya uhariri wa vitabu kwa wachapishaji wa Random House. Alihariri vitabu vingi vya waandishi weusi.
 
Mwaka 1970 alitoa kitabu chake cha kwanza "The Bluest Eye" (Jicho la buluu kabisa). Kitabu cha kwanza kilichofaulu kuuzwa vema kilikuwa "Song of Solomon" (Wimbo ya Suleimani) mwaka 1977.
Mstari 13:
 
Kati ya riwaya zake ni:
* The Bluest Eye, 1970
* Sula, 1973
* Song of Solomon, 1977
* Tar Baby, 1981,
* Beloved, 1987
* Jazz, 1992
* Paradise, 1998
* Love, 2003