Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2005 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza no:Valget i Tanzania 2005
Minor fix using AWB
Mstari 1:
{{Politics of Tanzania}}
Nchi ya [[Tanzania]] ilifanya uchaguzi wa urais na ubunge mnamo 4 Desemba 4, 2005. Mapema ulikuwa umepangiwa kufanyika mnamo 30 Oktoba 30 lakini ukahairishwa kutokana na kifo cha mgombea kiti cha Makamu wa Rais. Uchaguzi huu ulikuwa wa tatu tangu nchi hiyo kurudia mfumo wa vyama vingi mnamo 1992. Pia ulikuwa wa kipekee kwa kuwa aliyekuwa rais [[Benjamin Mkapa]], ambaye alikuwa amehudumu kwa kipindi cha miaka miwili alistaafu kulingana na Katiba. Uchaguzi wa Urais wa [[Zanzibar]] katika na wawakilishi katika jumba la wawakilishi ulifanyika mnamo 30 Oktoba 30, jinsi ilivyokuwa imepangwa.
 
==Wagombea Ubunge==
===Muungano (Bara)===
* [[Jakaya Kikwete]] - [[Chama Cha Mapinduzi]] (CCM)
* [[Paul Henry Kyara]] - [[Sauti ya Umma]] (SAU)
* [[Ibrahim Lipumba]] - [[Civic United Front]] (CUF)
* [[Emmanuel Makaidi]] - [[National League for Democracy (Tanzania)|National League for Democracy]] (NLD)
* [[Freeman Mbowe]] - [[Chama cha Demokrasia na Maendeleo]] (CHADEMA)
* [[Augustine Mrema]] - [[Tanzania Labour Party]] (TLP)
* [[Christopher Mtikila]] - [[Democratic Party (Tanzania)|Democratic Party]] (DP)
* [[Sengondo Mvungi]] - [[National Convention for Construction and Reform-Mageuzi]] (NCCR-Mageuzi). Pia aliviunga mkono vyama vya [[Forum for Restoration of Democracy (Tanzania)|Forum for the Restoration of Democracy]] (FORD), [[National Reconstruction Alliance]] (NRA), [[Union for Multiparty Democracy]] (UMD), na [[United People's Democratic Party]] (UPDP).
* [[Anna Senkoro]] - [[Progressive Party of Tanzania-Maendeleo]] (PPT-Maendeleo)
* [[Leonard Shayo]] - [[Demokrasia Makini]] (MAKINI)
 
===Zanzibar===
* [[Amani Abeid Karume]] - Chama Cha Mapinduzi (CCM)
* [[Seif Shariff Hamad]] - Civic United Front (CUF)
* [[Haji Mussa Kitole]] - [[Jahazi Asilia]]
* [[Abdallah Ali Abdallah]] - Democratic Party (DP)
* [[Mariam Omar]] - Sauti ya Umma (SAU)
* [[Simai Abdulrahman Abdallah]] - National Reconstruction Alliance (NRA)
 
==Matokeo ya Uchaguzi==
Mstari 27:
{{Tanzanian presidential election, 2005}}
----
 
===Bunge la Muungano===
{{Tanzanian legislative election, 2005}}
Line 39 ⟶ 40:
! scope="col" | % ya Kura
|-
| align="left" | [[Amani Abeid Karume]]
| align="left" | [[Chama Cha Mapinduzi]] (CCM)
| align="center" | 239,832
Line 50 ⟶ 51:
|-
| align="left" | [[Haji Mussa Kitole]]
| align="left" | [[Jahazi Asilia]]
| align="center" | 2,110
| align="center" | 0.48%
Line 97 ⟶ 98:
 
==Tazama Pia==
* [[Tanzania]]
* [[Zanzibar]]
* [[Historia ya Tanzania]]
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.uchaguzitanzania.com/ Uchaguzi Tanzania]
* [http://www.ccmtz.org/ Chama Cha Mapinduzi official site]
* [http://www.chadema.net/ Chama cha Democracia na Maendeleo]
* [http://www.cuftz.org/ Tovuti Rasmi ya Civic United Front]
* [http://www.nec.go.tz/ National Electoral Commission]