Vasili Vereshchagin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza fi:Vasili Vereštšagin
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Vassili verechagin.gif|right|thumb|150px|Vasili Vereshchagin]]
'''Vasili Vasilyevich Vereshchagin''' ([[Kirusi]]: '''Василий Василиевич Верещагин'''; [[26 Oktoba]], [[1842]] - [[13 Aprili]], [[1904]]) alikuwa mchoraji kutoka [[Urusi]] aliyefahamika sana kutokana picha zake za [[vita]] na mapigano.
 
Alikuwa mtoto wa mkulima aliyepata elimu kwenye shule ya kijeshi akandelea kuwa afisa wa jeshi la Urusi. Aliondoka jeshini akawa mwanafunzi wa uchoraji huko [[Sankt Peterburg]] akamaliza masomo yake kwenye Chuo cha Sanaa mjini [[Paris]].
Mstari 22:
</gallery>
 
== Viungo vya Nje nje==
 
* {{Commons category|Category:Wassilij Wassiljewitsch Wereschtschagin|Wereschtschagin}}
== Viungo vya Nje ==
* {{Commons|Category:Wassilij Wassiljewitsch Wereschtschagin|Wereschtschagin}}
* [http://slavyanic.narod.ru/art/painting/vereschagin/ Muhtasari ya kazi zake (''Kirusi'')]
* [http://www.fegi.ru/PRIMORYE/flot/vereshag.jpg Picha ya Vereshchagin]