Virusi vya kompyuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza qu:Antañiqiq añaw
Minor fix using AWB
Mstari 5:
 
Tangu kupatikana kwa intaneti kuna watu maelfu ambao wametunga programu za virusi kwa kusudi mbalimbali; mara nyingi ni vijana wanaotaka kujaribu uwezo wao wa kuandika programu za aina hii. Wengine wanakusudia mzaha tu wakitaka kuona mafanikio yao kwenye kompyuta za dunia yote. Kuna wengine wenye hasira dhidi ya kampuni kubwa kama [[Microsoft]], dhidi ya benki, dhidi ya serikali au dhidi ya binadamu kwa jumla. Hao ni hatari zaidi wakijitahidi kusababisha hasara kubwa. Wengine hufuata kusudi za kisiasa wakilenga kwa kompyuta za lugha au nchi fulani hasa. Virusi nyingi zina malengo ya kijinai kwa sababu watungaji wao wanajaribu kupata faida ya kifedha kwa njia ya utapeli wakijaribu kuiba maneno ya siri kutoka kompyuta ya watu yanayomruhusu mtumiaji kuwasiliana na benki na kutuma fedha kwa akaunti yningine.
 
 
== Hatari za kutumia makompyuta mengi-mengi ==
Line 13 ⟶ 12:
 
== Hasara kubwa zilizosababishwa na "worm" ==
Mnamo tar. [[24 Januari]], [[2003]], aina ya kirusi cha kompyuta kiitwacho "'''worm'''" kilitolewa ili kuathiri Intaneti. Worm ni mfululizo wa maelekezo ya kompyuta ambayo yanajiweka nakala nyingi-nyingi yenyewe na kuzituma kwa kompyuta nyingine.
 
Huyu worm ametuma nakala kibao zake mwenyewe kwenye kompyuta nyingine kupitia Intaneti. Huyo worm ameharibu mamilioni kadhaa ya kompyuta duniani. Imepunguza uwezo wa makompyuta kibao kupitia mitandao ya kompyuta.
Line 29 ⟶ 28:
 
== Marejeo ==
==Viungo vya Njenje==
* {{dmoz|Computers/Security/Malicious_Software/Viruses/|Viruses}}
* [http://www.us-cert.gov/ US Govt CERT (Computer Emergency Readiness Team) site]