Whoopi Goldberg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeondoa: nn:Whoopi Goldberg (deleted)
Minor fix using AWB
Mstari 2:
|jina = Whoopi Goldberg
|picha = Whoopi Goldberg at a NYC No on Proposition 8 Rally.jpg
|ukubwa wa picha =
|maelezo ya picha = Goldberg in New York City, NovemberNovemba 2008
|jina la kuzaliwa = Caryn Elaine Johnson
|tarehe ya kuzaliwa = {{birth date and age|1955|11|13}}
|mahala pa kuzaliwa = {{city-state|New York City|New York}}, [[United StatesMarekani|U.S.US]]
|kazi yake = Mwigizaji, mchekeshaji, DJ wa redio, mtunzi wa vitabu, mwimbaji-mtunzi, mtangazaji wa kipindi cha majadiliano, mwanaharakati
|miaka ya kazi = 1981 – mpaka sasa
|ndoa = Alvin Martin (1973–1979)<br />David Claessen (1986–1988)<br />Lyle Trachtenberg (1994–1995)
}}
'''Whoopi Goldberg''' (amezaliwa na jina la '''Caryn Elaine Johnson'''; mnamo [[13 Novemba]], [[1955]])<ref>Some sources quote her birth year as 1949 and 1950 [http://www.biography.com/articles/Whoopi-Goldberg-9314384 Biography.com][http://www.imdb.com/name/nm0000155/ IMDB]</ref> ni [[mchekeshaji]], [[mwigizaji]], [[mwimbaji]], [[mtunzi wa nyimbo]], mwanaharakati wa kisiasa, na mtangazaji wa kipindi cha majadiliano kutoka nchini [[Marekani]].
 
Goldberg ameanza kuonekana katika ulimwengu huu wa filamu kwa mara ya kwanza kwenye ''The Color Purple'' (1985) akicheza kama Celie, mwanamke anaye-nyanyasika mjini kusini. Amepokea uteuzi wa [[Academy Award]] kwa Mwigizaji Bora na kushinda kwa mara ya kwanza [[Golden Globe Award]] kwa uhusika wake katika filamu hiyo. Mnamo 1990, amecheza kama Oda Mae Brown, bingwa wa maono anayemsadia mtu aliyeuawa ([[Patrick Swayze]]) kumtafuta mwuaji wake katika filamu bab-kubwa ya ''[[Ghost]]''. Kazi hii imempelekea ashinde tuzo ya pili ya Golden Globe na [[Academy Award akiwa kama Mwigizaji Msaidizi. Baadaye akaja-kupata umaarufu zaidi katika mfululizo wa filamu za ''[[Sister Act]]'' na [[Sister Act 2: Back in the Habit|Sister Act 2]], "[[The Lion King]]", ''[[Made in America]]'', ''[[How Stella Got Her Groove Back]]'', ''[[Girl, Interrupted]]'' na ''Rat Race'' . Pia amevuma sana na uhusika wake wa kucheza kama mwuza baa Guinan katika ''[[Star Trek: The Next Generation]].''
 
Goldberg ameteuliwa mara 13 na tuzo za [[Emmy Awards]] kwa ajili kazi zake katika televisheni. Alikuwa mtayarishaji-mwenzi katika kipindi maarufu cha ''Hollywood Squares'' kuanzia 1998-2004. Tangu 2007, amekuwa msimamizi wa kipindi cha majadiliano cha TV, ''The View''. Goldberg ana Grammy, Emmy saba, Golden Globes mbili, Tony, na Oscar. Kwa upande mwingine, Whoopi ana [[British Academy Film Awards|British Academy Film Award]], [[People's Choice Awards]] nne na amepewa heshima yake katika ya nyota katika [[Hollywood Walk of Fame]].
 
== Filmografia ==
=== Filamu ===
Line 30 ⟶ 31:
* {{cite book | last=Goldberg | first=Whoopi | title=Book | location=New York | publisher=R. Weisbach Books | year=1997 | isbn=068815252X }}
* {{cite book | last=Goldberg | first=Whoopi | title=Alice | location=New York | publisher=Bantam Books | year=1992 | isbn=0553089900}}
 
== Marejeo ==
{{reflistMarejeo}}
 
== Soma zaidi ==
Line 40 ⟶ 42:
* {{cite book | last=Parish | first=James Robert | title=Whoopi Goldberg: Her Journey from Poverty to Megastardom | location=Secaucus, NJ | publisher=Carol Publishing Group | year=1997 | isbn=1559724315}}
 
== Viungo vya Nje nje==
{{wikiquoteWikiquote}}
{{commonsCommons cat|Whoopi Goldberg}}
* {{ibdb|42457}}
* {{imdbIMDb|00155}}
{{Memoryalpha}}
* [http://www.dyslexiaonline.com/famous/famous.htm Summary of Goldberg's history with dyslexia]