Stan Winston : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Minor fix using AWB
Mstari 5:
| maelezo ya picha = Stan Winston (kulia) na [[Michael Jackson]] wakati wa Tamasha la Filamu la Cannes mnamo 1997.
| tarehe ya kuzaliwa = {{birth date|1946|4|7}}
| mahala pa kuzaliwa = [[Arlington, Virginia]], [[United StatesMarekani|USAUS]]
| tarehe ya kufa = {{death date and age|2008|06|15|1946|4|7}}
| mahala alipofia = [[Malibu, California]], [[United StatesMarekani|USAUS]]
| kazi yake = [[Vionjo maalumu]], [[msanii wa vipodozi]], [[mwongozaji wa filamu]]
| ndoa = Karen Winston
Mstari 13:
| academyawards = '''[[:en:Academy Award for Visual Effects|Best Effects, Special Visual Effects]]'''
1986 ''[[:en:Aliens (film)|Aliens]]''
1991 ''[[Terminator 2: Judgment Day]]''
1993 ''[[:en:Jurassic Park (film)|Jurassic Park]]''
'''[[:en:Academy Award for Makeup|Best Makeup]]'''
1991 [[Terminator 2: Judgment Day]]}}

'''Stanley Winston'''<ref>[http://www.filmreference.com/film/81/Stan-Winston.html Stan Winston Biography (1946?-)]</ref> ([[7 Aprili]], [[1946]] – [[15 Juni]], [[2008]]) alikuwa mtaalamu wa [[vionjo maalumu]], [[msanii wa vipodozi]], na [[mwongozaji wa filamu]] kutoka nchini [[Marekani]]. Alifahamika sana kwa kutengeneza [[Terminator (mfululizo)|mfulululizo wa filamu za ''Terminator'']], mfululizo wa filamu za ''[[Jurassic Park (mfululizo)|Jurassic Park]]'', ''[[Aliens (filamu)|Aliens]]'', na mfululizo wa filamu za ''[[Predator (filamu)|Predator]]'', ''[[Iron Man (filamu)]]'' na ''[[Edward Scissorhands]]''.<ref name="Cohen">Cohen, David S. (2008). [http://www.variety.com/article/VR1117987531.html?categoryid=13&cs=1 "Effects master Stan Winston dies. Work included ''Jurassic Park'', ''Terminator''"], ''Variety'' webpage retrieved 2008-06-16.</ref><ref name="Crabtree">Crabtree, Sheigh (2008). [http://latimesblogs.latimes.com/entertainmentnewsbuzz/2008/06/stan-winston-de.html "Stan Winston, dead at 62; Oscar-winning visual effects artist suffered from multiple myeloma"], ''Los Angeles Times'', Entertainment industry news blog, June 16, Juni 2008; online version retrieved 2008-06-16.</ref><ref name="SWS">Stan Winston Studios (2008). "Press Release" posted at ''Los Angeles Times'' Entertainment industry news blog, June 16, Juni 2008; online version retrieved 2008-06-16.</ref> Ameshinda jumla ya tuzo nne za [[Academy Awards]] kwa kazi yake aliyokuwa akiifanya.

Winston, mara kwa mara hufanya kazi na mshirika wake-mwongozaji filamu [[James Cameron]], anamiliki zaidi ya studio moja ya vionjo maalumu, ikiwemo na Stan Winston Digital. Kuanzishwa kwa maeneo ya utaalamu wa Winston ilikuwa masuala ya vipodozi/vionjo vya filamu, vikarogosi na vionjo fulani, lakini hivi karibuni alipanua wigo wa studio yake na kuongeza vionjo vya dijitali vilevile.

==Kazi na maisha==
Stan Winston alizaliwa mnamo tar. [[7 Aprili]], [[1946]], mjini [[Arlington, Virginia]], ambapo alihitimu katika shule ya Washingon-Lee High School mnamo 1964. Alisomea masuala ya kuchora na uchongaji katika [[Chuo Kikuu cha Virginia]] huko mjini [[Charlottesville, Virginia|Charlottesville]] ambapo alimaliza mnamo mwaka wa 1968. Mwaka wa 1969, baada ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Jimbo la California, Long Beach, Winston akahamia [[Hollywood]] ili kujiendeleza na shughuli akiwa kama mwigizaji. Amehaha kutafuta kazi ya ugizaji, akabahatika kupata kazi na kuanza shughuli upodozi na uwekaji vionjo maalumu katika [[Walt Disney Pictures|Studio za Walt Disney]].

===Miaka ya 1970===
Mstari 27:
===Miaka ya 2000===
===Kifo chake===

==Tuzo za Academy==
==Filmografia==
Line 40 ⟶ 39:
* ''Predator'' (Oscar Nomination) (1987)
* ''Pumpkinhead'' (1988)
* ''Leviathan'' (1989)
* ''Edward Scissorhands'' (Oscar Nomination) (1990)
* ''[[Predator 2]]'' (1990)
* ''[[Terminator 2: Judgment Day]]'' (Oscar Winner) (1991)
* ''[[Batman Returns]]'' (Oscar Nomination) (1992)
* ''Jurassic Park'' (Oscar Winner) (1993)
* ''Interview with the Vampire'' (1994)
* ''Congo'' (1995)
* ''The Ghost and the Darkness'' (1996)
* ''The Island of Doctor Moreau'' (1996)
* ''T2 3-D: Battle Across Time'' (1996)
* ''The Relic'' (1997)
* ''[[Ghosts (video)|Ghosts]]'' (1997)
* ''The Lost World: Jurassic Park'' (Oscar Nomination) (1997)
* ''Mouse Hunt'' (1997)
* ''Small Soldiers'' (1998)
* ''Instinct'' (1999)
* ''Lake Placid'' (1999)
Line 82 ⟶ 81:

==Marejeo==
{{reflistMarejeo}}

==Viungo vya Njenje==
* [http://www.stanwinstonstudio.com Stan Winston Studios]
* {{imdbIMDb name|id=0935644|name=Stan Winston}}

{{Terminator}}
Line 97 ⟶ 96:
[[Jamii:Washindi wa Tuzo za Emmy Award]]

{{mbeguMbegu-igiza-filamu-USA}}

[[ca:Stan Winston]]