Kimondo cha Mbozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kiungo
Mstari 1:
[[Picha:kimondombozi.jpg|thumb|200px|Kimondo cha Mbozi]]
<sup><small>[[Anwani ya kijiografia]] ni 9° 6'28.11"S na 33° 2'14.34"E</small></sup><br>
'''Kimondo cha Mbozi''' ni [[kimondo]] ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa [[Vwawa]]. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka katika kilima cha Mlenje, [[Wilaya ya Mbozi|wilayani Mbozi]] katika [[mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]].
 
Kipo kati ya vimondo vizito 10 vinavyojulikana duniani. Kina urefu wa mita 3.3, upana wa mita 1.63 na kimo cha mita 1.22.
Mstari 10:
*[http://www.jambonetwork.com/blog/?p=4430 Ujumbe wa blogu kuhusu Kimondo cha Mbozi]
*'''''(de)''''' [http://www.sternwarte-singen.de/meteoriten_gross_mbozi1.htm Makala kuhusu Kimondo cha Mbozi kwa Kijerumani - kuna picha nzuri]
*[https://sites.google.com/site/astronomyintanzania/previousmonthsnightskies/hazina-iliyosahauliwa-hapa-tanzania Blogu ya Noorali Jiwaji juu ya kutembelea Mbozi]
 
[[Jamii:Wilaya ya Mbozi]]