Tana (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 25:
|}
 
'''Ziwa la Tana''' ni ziwa kubwa la [[Ethiopia]] na asili ya [[Nile ya Buluu]]. Beseni yake iko taktiban 370 km kaskazini-magharbibi ya [[Addis Ababa]] katika nyanda za juu za Ethiopia.
[[Image:Lake Tana, Ethiopia.jpg|thumb|left|200px|Ziwa la Tana]]
Umbo la ziwa limebadilika katika karne iliyopita kutokana na [[mashapo]]. Kamusi ya mwaka 1888 ilitaja kina ya mita 100, lakini leo ni mita 14 pekee. Eneo la ziwa hubadilika na majira ya mvua au ukame yaani kuwa na maji mengi au kidogo. Mito mingi inaingia ziwani ikiwa mikubwa kati yao ni mito ya Rib na Gumara.