Uvukizaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Kama [[molekuli]] katika uowevu zinapashwa moto mwendo wao unaongezeka. Zinagonganagongana na kuwa mbali zaidi hadi kuwa gesi.
 
Katika [[metolojiametorolojia]] uvukizaji ni hasa mwendo wa maji kuwa mvuke na gesi. Mwendo huu ni nguvu muhimu sana katika [[dura ya maji]] duniani. Maji ya baharini au unyevu nchini yanapashwa moto hasa na mishale ya jua kuwa mvuke unaopanda juu kuwa mawingu.
 
[[Category:Fisikia]]