Marianne Koch : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Marianne Koch
Marianne Koch
Mstari 17:
| tovuti =
}}
'''Marianne Koch''' (Amezaliwa tar. [[19 Agosti]], [[1931]]) ni mwigizaji filamu mstaafu wa Ujerumani, aliyecheza filamu kati ya miaka ya 1950 na 1960, anafahamika zaidi kwa mwonekano wake katika filamu za western ya Italia, maarufu kama Spaghetti westerns na filamu za kipelelezi za miaka ya 1960s1960.
 
Marianne ameonakana katika zaidi ya filamu 65 kati ya mwaka 1950 na 1971 zikiwemo na filamu ziliongozwa na [[Sergio Leone]], ambayo ni A Fistful of Dollars ya mwaka 1964 ambayo ndio picha inayoneka amekaa na [[Clint Eastwood]].