Marianne Koch : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Marianne Koch
Marianne Koch
Mstari 17:
| tovuti =
}}
'''Marianne Koch''' (Amezaliwa tar. [[19 Agosti]], [[1931]]) ni mwigizaji filamu mstaafu wa Ujerumani, aliyecheza filamu kati ya miaka ya [[1950]] na [[1960]], anafahamika zaidi kwa mwonekano wake katika filamu za western ya Italia, maarufu kama Spaghetti westerns na filamu za kipelelezi za miaka ya [[1960]].
 
Marianne ameonakana katika zaidi ya filamu 65 kati ya mwaka [[1950]] na [[1971]] zikiwemo na filamu ziliongozwa na [[Sergio Leone]], ambayo ni A Fistful of Dollars ya mwaka [[1964]] ambayo ndio picha inayoneka amekaa na [[Clint Eastwood]].
==Vingo vya Nje==
*{{imdb name|id=0462367}}